jamani nokia asha inanitesa

atrash

Member
May 1, 2011
75
12
habari zenu wakuu mi nina tatizo la jinsi ya kufanya setting ktk hizi simu za nokia asha kwa ajili ya kupata internet
nimejaribu kufanya njia zote lakini nimechemka jamani majirani aliokuwa nayo nokia 306 naomba nisaidie jinsi ya kufanya setting ili nitumie internet


natanguliza shukran
 
Ni_PM maana hapa nikianza kuelezea itakuwa ni Process ndefu au kama kuna mtu ana_link anaweza akaiweka.
 
Mkuu atrash unatumia sim card ya mtandao gani? Kuna njia mbili za kufanya setup ya internet katika simu 1.ni auto 2.ni manual ,ukianza na AUTO kama unantumia simu card ya VodaCom tuma ujumbe "internet nokia 6030 " kisha tuma kwenda 15300 , Utapokea ujumbe mfupi ukikutaka u "save" au utatakiwa uingize namba 1234 ili kusave settngs,lakini pia unaweza kupata option ikikutaka u install settng .
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wakuu mi nina tatizo la jinsi ya kufanya setting ktk hizi simu za nokia asha kwa ajili ya kupata internet
nimejaribu kufanya njia zote lakini nimechemka jamani majirani aliokuwa nayo nokia 306 naomba nisaidie jinsi ya kufanya setting ili nitumie internet


natanguliza shukran

Majina nayo yanamata saa nyingine,
Hivi ilikuwaje iitwe jina hilo?
 
Hizo simu za wanawake zinasumbua sana, mimi ninayo Nokia Juma wala haisumbui.
 
Oyooh mkali tc simple nenda setting thn configurtn alafu personal settngs thn nenda kweny optn an add web unarudi tena add access point. Then rudi nyuma mpka mwanzo pale ulipo ingia kweny configurtn kuna default configrtn settn thn select personal confgrtn. An set kma default thn rudi nyuma an shuka mpka kweny preferd access piont weka access point au my access point thn. Thn rudi juu kuna optn default in all appltcnz. Select an ur done kma hauja ni.soma ni.pm fr mr info hizi settn ni applcble tu al netwrks ili mradi unapo toa line nakuweka nyngne uzirudie kdg tu
 
uploadfromtaptalk1367649296457.jpg uploadfromtaptalk1367649296457.jpg uploadfromtaptalk1367649296457.jpg
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1367649349575.jpg
    uploadfromtaptalk1367649349575.jpg
    54.4 KB · Views: 31
  • uploadfromtaptalk1367649390578.jpg
    uploadfromtaptalk1367649390578.jpg
    60.5 KB · Views: 26
  • uploadfromtaptalk1367649420484.jpg
    uploadfromtaptalk1367649420484.jpg
    47.3 KB · Views: 29
  • uploadfromtaptalk1367649449348.jpg
    uploadfromtaptalk1367649449348.jpg
    47.3 KB · Views: 26
  • uploadfromtaptalk1367649498279.jpg
    uploadfromtaptalk1367649498279.jpg
    50.2 KB · Views: 25
  • uploadfromtaptalk1367649609430.jpg
    uploadfromtaptalk1367649609430.jpg
    51.5 KB · Views: 26
  • uploadfromtaptalk1367649640234.jpg
    uploadfromtaptalk1367649640234.jpg
    46.6 KB · Views: 21
  • uploadfromtaptalk1367649676145.jpg
    uploadfromtaptalk1367649676145.jpg
    47.5 KB · Views: 29
Kuna image kma mbli zime mis kweny hyo series zimegma ku upload ila hzo picha plus yale maelz kidg hpe vitakuwa helpful.kdg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom