Jamani hili tatizo la Windows 8 ni kwangu tu au?

Jamani hili tatizo la Windows 8 ni kwangu tu au?

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
641
Wakuu natumia HP yenye RAM 4GB(expandable to 8GB) na processor AMD Phenom(tm) II N660 Duo-Core 3.00 GHz

Kila nikiweka Windows 8 PC inafanya kazi vizuri tu,ila tatizo inakuwa nzito sana kucopy tofauti na inavyokuwa kwenye Windows 7.Kwa wastani kwenye W7 inakopy at 6Mbps kwenda kwenye USB flash na at minimum of 16Mbps kama ni kwenda kwenye External or Internal HDD.Nikitumia W8 speed inashuka hadi <2Mbps kwa USB na <8Mbps kwa HDD.

Pia inakuwa inaheat sana ninapokuwa naitumia na kama ninatumia internet ndo inatia huruma kabisa.Lakini hii ni tofauti ninapotumia W7.Lakini pia ninapokuwa kwenye internet hata sauti inakwamakwama.Yaani kwa kifupi,nikitumia W8 PC inakuwa kama inaovercome some kind of high resistance.

Ila functionality zingine inakuwa ni nyepesi kabisa.Inafunguka fasta na inafanya kazi zingine kiulaini kabisa.Sasa sijajua kama hili tatizo ni kwangu tu au kuna mwingine ameexperience tatizo kama hili.Nimeamua kutulia tu kwenye W7 japo W8 naipenda sana.

Ushauri tafadhali..
 
Nadhani PC yako ndio tatizo. haijawa full compatible na 8.
Wn8 ni very fast na smooth kuliko 7
 
Nadhani PC yako ndio tatizo. haijawa full compatible na 8.
Wn8 ni very fast na smooth kuliko 7

Mkuu umenielewa vizuri?
Nimesema other functions zipo smooth(kiulaini!),tatizo ni ktk kukopi na kuheat wakati wa matumizi.
 
Computer yako ilikuwa na windows gani kabla? Na umeweka version gani ya windows 8?
 
Tangu nimenunua computer yangu(specs as above) ilikuja na Windows 7 Home Premium 64bit na hata sasa mimi huwa napenda 64bit.Na W8 ninayokuwa naweka ni 64bit,sijajaribu 32bit kwa kweli.
 
mkuu umecheki graphic driver? wengi wenye tatizo la uslow windows 8 ni graphic.

nenda computer click properties then system rating. cheki rating yake itakuaje kwa computer kama yako rating ya graphics inatakiwa ianzie 3 ikiwa chini ya hapo itabidi uingie net kuzidownload hizo driver
 
mkuu umecheki graphic driver? wengi wenye tatizo la uslow windows 8 ni graphic.

nenda computer click properties then system rating. cheki rating yake itakuaje kwa computer kama yako rating ya graphics inatakiwa ianzie 3 ikiwa chini ya hapo itabidi uingie net kuzidownload hizo driver

Thanks chief for your concern.
Kwa sasa natumia W7 na graphics inasoma 4.6
Sijakuelewa sasa kwamba je ninatakiwa nichek inapokuwa inarun W8,au?
 
Hivi kwenye windows 8 huwezi kutumia supercopier?, mi ku-copy kwa kutumia windows default copier nilishasahau, Check drivers pia angalia kama kuna program nyingi zina-run kwenye background.

Jaribu ku-run software hii: Advanced SystemCare Free 6/5/4/3 Download Review for Windows XP/Vista/7 - IObit

Thanks Fadhili for your concern. Itabidi nirudishe tena W8 ili niweze kurun hii kitu.Nimegundua,kumbe sikutakiwa kuondoa W8 kabla sijaweka hapa hili tatizo.I'm sorry for that guys.
 
Back
Top Bottom