Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,274
- 5,938
Nikiiwasha kabla haijafika mwisho inajizima, ikifanikiwa kuwaka hadi mwisho basi, mda wowote inajizima, kuzma kwake inakuwa ina stuck kidogo huku ikitoa mlio rrrrrr, then inajizima, tatizo lilianza kama wiki 3 hivi nyuma ila sasa ni balaa, limezidi haifanyi chochote.
Nilijaribu kufuta Os nilidhani ndo tatizo, still bado. nikadhani tatizo ni betry ila hata ukiitoa na ku plug umeme direct still bado tatizo lipo.
laptop ina miaka mitatu nilinunua mpya Toshiba.
Wakuu msaada kwa anayeju jinsi ya kusovu au fundi wa uhakiKa.