kuna kipindi tulikua tunazungumzia sana network inayoitwa TZ01 wengine tukawa tunasema ni ya zantel na wengine wakawa wanasema ni ya vodacom. hii network ikikaa inasema roaming as if unatumia...
Kama nitakua sahihi, kuna mabadiliko yamefanyika hapa jf, kuanzia unapofungua (ku-loggin in) na hata mwonekano wa maandishi. Tangu mabadiliko hayo yafanyike simu yangu aina ya Nokia...
Wadau nilikua na data zangu muhimu sana kwenye laptop nikazi cut na ku paste kwenye flash disk sasa bahati mbaya imepotea hiyo flash ninawezaje kuzipata tena ? Nimejaribu system recovery imekataa...
natumia modem ya huawei e153 ya airtel mkoan mtwara uku na nikwa mda mrefu 3g network ilikua aipatkan sasa yapita siku tatu sasa imeanza patikana hasa kuanzia jion ila sasa nikiconnect siwezi...
wanajamvi ningependa kufahamu kampuni zingine za simu ambazo wanasoftware zinazoweza kuconnect kati ya simu na kompyuta yako na kuweza kutuma sms,kupiga simu au kupokea na mengine mfano nokia...
Smartphone Zaongoza Kwa Mauzo
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya simu, simu aina ya smartphone zimeuzwa nyingi kuliko simu za kawaida kwa mujibu wa taarifa ya wachambuzi na...
Wakuu naomba muongozo,
Asubuhi sana leo jamaa yangu kanipigia simu akiniomba msaada wa jambo fulani. Baada ya kuanza process ya kumsaidia nikakwama kwakuwa baadhi ya info zake sikuwanazo,kwaharaka...
natanguliza shukurani .....mwenzenu nime istall ICS rom ktk ideos U8150 na nimefanikiwa ...lakini simu haiwez play music au video..inasema Cant play this video/musi..naomben msaada..