Simu yangu imepoteza uwezo wa kuona picha?

Simu yangu imepoteza uwezo wa kuona picha?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,469
Reaction score
17,975
Kama nitakua sahihi, kuna mabadiliko yamefanyika hapa jf, kuanzia unapofungua (ku-loggin in) na hata mwonekano wa maandishi. Tangu mabadiliko hayo yafanyike simu yangu aina ya Nokia 5310XpressMusic imeshindwa kuonyesha picha. Kwa mfano, nafungua jf photo, nachopata hapa ni maandishi tu, picha sizioni. Je tatizo ni cm au mabadiliko yaliyofanywa jf.? Msaada tafadhali.
 
kuna shida hiyo hata kwangu,natumia 'smart phone'
 
kunatatizo nadhani mahali. picha nyingi hazitaki kufunguka kwa kupitia operamini. natumia samsung galaxy na ili tatizo limeanza siku za ivi karibuni. wahusika liangalieni hili
 
Back
Top Bottom