Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
Wakuu naomba muongozo,
Asubuhi sana leo jamaa yangu kanipigia simu akiniomba msaada wa jambo fulani. Baada ya kuanza process ya kumsaidia nikakwama kwakuwa baadhi ya info zake sikuwanazo,kwaharaka nikachukua simu yangu kwa nia ya kununua kifurushi cha chekanao cha jero kwenda mitandao yote ili kusevu costs,nikakosea kutokana na haraka nikanunua kifurushi kingine hata sikijui. Baada ya sekunde chache nikapata msg hongera umenunua sekunde 18,000 kupiga vodacom - vodacom,na wamekata Tzs 18,000/=. kiukweli hela yangu imeniuma sanaa.
Chakusikitisha ni kwamba it happened so fast hata hakukuwa na menu ya ku confirm hiyo request.
Nimejaribu kuongea na customer service kuwaomba angalau wanibadilishie kifurushi mi mtoto wa mfanya biashara ila za kimachinga ndo kwanza wananiambia kilichoenda kwa mganga hakirudi. Hela yangu imeniiuma sana.
Muongozo;
Je ni kweli kwamba kuna transaction ya fedha yoyote isoyo weza kuwa reversed especially mteja akicomplain kwamba amefanya makosa.
Ninauzoefu na mabenki, wanaheshimu sana kauli ya mteja na kuna namna lazima ipo contra entry ya kila transaction,vinginevyo ni unyang'anyi
Kama wanaweza kurudisha kwenye mpesa kwa nini kwenye vifurushi wakatae kurudisha ?? je huu si wizi jamani ??