frequence

frequence

kinako

New Member
Joined
May 4, 2013
Posts
3
Reaction score
0
mbona kwangu chanel za kenya zina zingua au wamebadlisha? naomba msaada
 
kaka pole sana,ninachofaham mimi,channels za kenya waweza kuzipata vizuri katika intelsat 72 @ 72'E,ila kaka yakubidi upate receiver ya mpeg4,ya mpeg2 haziwezi kubali,ngoja pia tusubiri wataala mengine kaka
 
Back
Top Bottom