Smartphone Zaongoza Kwa Mauzo

Smartphone Zaongoza Kwa Mauzo

ManiTek TV

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
410
Reaction score
159
[h=1]Smartphone Zaongoza Kwa Mauzo[/h]

Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya simu, simu aina ya smartphone zimeuzwa nyingi kuliko simu za kawaida kwa mujibu wa taarifa ya wachambuzi na watafiti wa takwimu za gajeti IDC. Katika ripoti hiyo 51.6% ya simu zote ni smartphone huku Samsung ikiwa ni muuzaji namba moja katika soko hilo Duniani. Wakati Nokia na Sony hazimo katika wauzaji tano bora, Samsung imeuza karibu mara mbili ya Apple ambayo inashikilia nafasi ya pili. Pia tukizingatia kwamba Apple hutoa simu moja kwa mwaka kushika nafasi hii kunaonyesha jinsi kampuni hiyo ilivyo ngangari katika mauzo.

Katika kampuni tano bora za mauzo hayo ya smartphone Apple ndio kampuni pekee kutoka nchi za magharibi, ambapo mbili zimetoka Korea ya Kusini yaani Samsung na LG na mbili zilizobaki ni kampuni za China yaani Huawei na ZTE, hivyo soko la smartphone nalo ni ushahidi wa kuhama kwa nguvu za kiuchumi kutoka Magharibi kwenda Mashariki ya Mbali.

Smartphone zimeongezeka kwa 4% katika robo hii ya kwanza ya mwaka 2013 kulinganisha na robo kama hii mwaka jana. Samsung sio tu imeshikilia nafasi ya kwanza, bali pia imeuza smartphone nyingi kuliko kampuni zote nne zinazoshikilia nafasi ya pili mpaka ya tano zikijumlishwa kwa pamoja. Apple iliyoendelea kushikilia nafasi ya pili kama mwaka jana imepata ongezeka la mauzo ya 6.6% kulinganisha na robo ya kwanza ya mwaka jana huku iPhone 5 ikiendelea kupata mauzo mazuri.

LG ambayo katika robo mbili za mwisho za mwaka jana ilitolewa katika tano bora imerudi na kushikilia nafasi ya tatu ikiwa imeuza smartphone milioni 10.3, LG imesaidiwa na mauzo mazuri kwa Smartphone za bei rahisi na LG Nexus 4, moja kati ya simu maarufu mno kwa mwaka huu. Huawei imepanda mno na kushika nafasi ya nne ambapo mwaka jana katika robo kama hii kampuni hiyo iliuza Ascend chache tu. ZTE nayo imeendelea kukua ikitamba zaidi katika soko la Asia/Pacific na hata katika bara la Marekani ya Kaskazini.

Takwimu za IDC zinaonyesha kwamba katika robo hii ya kwanza ya mwaka 2013; Samsung imeuza Smartphone milioni 70.7, Apple wameuza iPhone milioni 37.4, Huawei iliyoshika nafasi ya nne imeuza simu milioni 9.9 na ZTE imeuza smartphone milioni 9.1, takwimu hizi zinathibitisha kwamba kwa upande wa Nokia na Blackberry bado hali ni ngumu katika mauzo.
Chanzo: gajetek habari
 
Samsung noma japo bado nipo na iPhone

Sent from my EyePhone
 
nokia kauza 6.1m possilble quarter ijayo ataingia kwenye tano bora.

mndengereko said:
i love sony i wish it best of lucky
hapa naanza kutilia mashaka data za xperia z kuuza 4.6m walitakiwa wawepo humu
 
Masikini Nokia pamoja kuhama Symbian OS kwenda Window Mobile OS imeshindwa kuingia kwenye tano bora? hata kwenye cell-phone marketing hapa nchini soko alilokuwa analitawala, sasa linashikiliwa na Tecno.
 
mkuu nokia huwezi kumlaumu anafanya restructuring na so far wp os + lumia imeonysha mafanikio

-q3 2012 (mwez wa 7 hadi wa 9) lumia mlion 2.9 ziliuzwa worldwide

-q4 2012 (mwez wa 10 hadi wa 12) lumia milion 4.6 zikauzwa

-q1 2013 (mwez wa 1 hadi wa 3) lumia milion 5.7 zimeuzika

q2 hii tuliyonayo kuna device kama lumia 520 na 720 ambazo ni cheap sana kwa market zake inamaana lumia zitazidi zaidi kupanda miez hii. estimation ni device 7.5 million so far nokia ipo safe

kwenye feature phone so far nokia wapo safe asha zinafanya vizuri sanaa.

total samsung kauza simu 115m na nokia 61.m toa 70m smartphone alizouza samsung na toa 6m smartphone alizouza nokia then tunapata majibu haya

nokia kauza 55m feature phone
samsung kauza 45m feature phone

hii ina maana still nokia hajatoka kwenye ufalme we simu ndogo. sidhani kama tecno kafikisha hata milion kadhaa maana naye angeekwa
 
q2 hii tuliyonayo kuna device kama lumia 520 na 720 ambazo ni cheap sana kwa market zake inamaana lumia zitazidi zaidi kupanda miez hii. estimation ni device 7.5 million so far nokia ipo safe

Nokia imepoteza muelekeo;

1. Walishindwa kuona mbali kwenye suala Android wakakwepa kujiunga na kambi ambayo sasa hivi waliojiunga wamepata mfanikio.

2. Imewachukua muda mrefu sana kugundua kwamba Symbian ni OS ya miaka ya tisini.

3. When it was too late, badala ya kujiunga na kambi mbili (Android na WP) wamechagua kujiunga na kambi mbovu inayoanza kujijenga (WP) badala ya kambi ya uhakika kwa mauzo ya leo sio kesho (Android)

4. Bado wame-focus kwenye feature phones, wameshindwa kuona kwamba wanaokaa kileleni ni wale wenye simu nzuri na sio tu simu za bei rahisi.

5. Nokia kwenye biashara ya simu imepoteza vision na strategy.

6. Hata kwenye WP camp; Flagship phone yao imeshindwa kutoa ushindani dhidi ya high end phones kama vile Samsung Galaxy au iPhone, na hapa ni pakubwa, haziwezi kushindana na hata HTC, LG au Sony

KIUJUMLA NOKIA IS A THING OF THE PAST, HAIWEZI TENA KURUDI ILIPOKUWA.They are not creative enough, they are not innovative enough andthey are who they use to be in 1990. They simply stack in the past.

No offence to any Nokia user but this is the truth. I'm sure if you pay iPhone 5 user or Galaxy S4 user halafu umpe sharti kwamba iPhone au Samsung yake aifungie mwaka mmoja na atumie Nokia ya bure basi hawezi kukubali. They are that poor.
 
zungumzia na hii Blackberry Z 10 yangu nayotumia , waiweka kundi gani kitaalamu
 
We tumia tu, ukitaka ufuata product gani inatamba sokoni/inauza sana sasa hv unaitupilia mbali hy Z 10 yako!
maana inawezekana hata kwenye # 10 zinazotamba ssokoni haipo!
 
Nokia imepoteza muelekeo;

1. Walishindwa kuona mbali kwenye suala Android wakakwepa kujiunga na kambi ambayo sasa hivi waliojiunga wamepata mfanikio.

2. Imewachukua muda mrefu sana kugundua kwamba Symbian ni OS ya miaka ya tisini.

3. When it was too late, badala ya kujiunga na kambi mbili (Android na WP) wamechagua kujiunga na kambi mbovu inayoanza kujijenga (WP) badala ya kambi ya uhakika kwa mauzo ya leo sio kesho (Android)

4. Bado wame-focus kwenye feature phones, wameshindwa kuona kwamba wanaokaa kileleni ni wale wenye simu nzuri na sio tu simu za bei rahisi.

5. Nokia kwenye biashara ya simu imepoteza vision na strategy.

6. Hata kwenye WP camp; Flagship phone yao imeshindwa kutoa ushindani dhidi ya high end phones kama vile Samsung Galaxy au iPhone, na hapa ni pakubwa, haziwezi kushindana na hata HTC, LG au Sony

KIUJUMLA NOKIA IS A THING OF THE PAST, HAIWEZI TENA KURUDI ILIPOKUWA.They are not creative enough, they are not innovative enough andthey are who they use to be in 1990. They simply stack in the past.

No offence to any Nokia user but this is the truth. I'm sure if you pay iPhone 5 user or Galaxy S4 user halafu umpe sharti kwamba iPhone au Samsung yake aifungie mwaka mmoja na atumie Nokia ya bure basi hawezi kukubali. They are that poor.

yani maneno yako ni kama vile mtu alifilisika then kaanza kurudi unamkatisha tamaa. hayo maneno yalitakiwa yasemwe mwaka 2011 na sio 2013.

920 haijauza kama iphone 5 na s3 sababu ni simu ngeni kwa watumiaji wa nokia. ni bidhaa ya kwanza ya kipekee (same as iphone ya kwanza) nzuri kwa innovation lakini si maarufu.

kuhusu nokia kutumia android huo utakua ni usellfish imagine kila mtu duniani atumie android then os zote zife duniani je kutakua na ushindani.

we ni mwanatech be honest je ingekua si wp kungekua na jellybean? wp ipo very fast and fluid na hili likaifanya google kutengengeneza kitu kilicho fluid ndo prject butter jb ikatokea.

nokia amebakiza unit mln 4 tu kurudi top 3 then unamponda kwa point za miaka hiooooo. i guess pia hujatumia windows phone unasema tu aende android.
 
windows vs watoto wa unix(android na ios) hahahaha kama unaipenda nokia usijaribu kutumia android au ios hautarudi
 
Back
Top Bottom