Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
Paloma mambo? Naona siku hizi umeanza kuandika kifaransa.daah....afadhali hukufika! ungenifuka!!! ulipendeza kunizidi! lol!
Right question at right time.Are you a she or a he before I proceed to digest and comment...........
Paloma mambo? Naona siku hizi umeanza kuandika kifaransa.
Pale bonde la jangwani na msimbazi upo wa kumwaga tu.daaah mchicha huo.............siku hizi sili mchicha na karoti za kutosha
Pale bonde la jangwani na msimbazi upo wa kumwaga tu.
Naogopa mbwa wako wakali.haaa huo wa kutoka huko nakula vile ikibidi....lakini nimeotesha kwenye vyombo nyumbani kwangu (kama maua vile) namwagilia maji safi.....karibu ule kitu safii