Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza
Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku
Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya...
Tupitie pamoja flagship soundbars.
1. Nakamichi Dragon 11.4.6 :
Description:Hii soundbar ina channels 21 katika configuration ya 11.4.6. Pia ni soundbar ya kwanza kusapoti DTS:X Pro ambayo ni...
Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp...
Sticker nyekundu hizo husaida kufunika lens ili isifanikiwe kuchukua picha endapo pale atakapopiga picha kimakosa hasa nakala nyeti na za usiri ukubwa.
Endapo hata simu yake itakapokuwa hacked na...
Msaada namna ya ku- unlock banned Facebook account
Wakuu salamu. Kama heading inavyojieleza hapo juu, account yangu ya Facebook imefungiwa kutokana na kuhisiwa kuwa mimi ni hacker kitu ambacho...
Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.”
Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa...
Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana.
Unaweza kufanya hivyo...
NATAFUTA TEAM (PART-TIME) – YOUTUBE CHANNEL
Natafuta vijana wenye ujuzi wa:
🎨 Graphic Design
🎞️ Video Editing
✍️ Script Writing
🎙️ Narration
Kwa ajili ya YouTube Channel
Interested?
Tuma:
Jina...
Wakuu, natumaini hamjambo.
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, nina hiyo router ya CPE 5s; ila tatizo inatumia tu laini moja.
Je, kuna mtu anaweza unlock ili iweze kusoma laini tofauti?
Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa...
Ni hivi wakuu ninataka kununua kakifaa fulani kakuscania magari. Japo hakasomi kwenye gari za Asia chini ya mwaka 2008. Hivyo ninahitaji kujua gari nyingi hapa Bongo ni za miaka gani.
Wadau Halotel wali lunch 5G katika mikoa yote 26 lakini imejaribu ku swich on Line yao tuu siipati hiyo 5G kama walivyotangaza. Nakusudia kuwaburuza Mahakamani. Tigo Vodacom ndo naona zinapandisha...
Nimekuwa nikikutana na changamoto ya kupata internet. Account iko paid, connection zote zipo sawa.
Nikipiga simu naambiwa ni tatizo la kiufundi.
Naomba kujua kama na nyie mnakutana na...
Habari wakuu
Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that.
Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata...
Mwaka 2025, Android ilisafirisha simu 1,000,000,000 huku iPhone ikisafirisha 240,000,000, hivyo kwa idadi ya vifaa Android iko ligi tofauti kabisa. Hata hivyo, bei ya wastani ya iPhone ni dola...
Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi...
Wapendwa habari za wakati huu,
Samahani naomba kujua Kati ya google pixel 6 plain na IPhone 11 Nani mkali zaidi katika camera, betries, storage, quality na mengineyo mengi mengii ya ndani msaada...