Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

Jf president

Member
Aug 16, 2022
18
39
Wapendwa habari za wakati huu,

Samahani naomba kujua Kati ya google pixel 6 plain na IPhone 11 Nani mkali zaidi katika camera, betries, storage, quality na mengineyo mengi mengii ya ndani msaada wakuu.
 
Anyway, nimeona bora nilete na huku
A. DISPLAY
1. Google Pixel 6 kioo chake kina refresh rate ya 90Hz, hiyo iPhone 11 ina 60Hz tu.
2. Kioo cha Google Pixel 6 ni OLED panel na ni higher quality kuliko cha iPhone 11 ambacho ni LCD
3. Kioo cha Google Pixel 6 kina mwanga wa kutosha kuliko iPhone 11 na hufikia hadi 848nits, iPhone 11 inaishia 677nits tu.
4. Kioo cha Google Pixel 6 ni Gorilla Glass Victus ambayo ni bora kuliko cha iPhone 11 ambacho ni Tempered Glass tu.
5. Kioo cha Google Pixel 6 kina pixel density ya 411ppi wakati iPhone Ina 326ppi
6. Kioo cha Google Pixel 6 kina resolution kubwa (1080x2400p) kuliko cha iPhone 11 ambacho kina resolution ya 828x1792ppi.
7. Kioo cha Google Pixel 6 kina feature ya Always on display, iPhone 11 haina.
Conclusion: KIOO CHA GOOGLE PIXEL 6 NI KIZURI KULIKO CHA IPHONE 11.

B. PEFORMANCE
1. Google Pixel 6 inatumia chipset ya Google Tensor na ina hadi 8GB RAM. iPhone 11 inatumia chipset ya Apple A13 Bionic na ina 4GB RAM
2. Chipset ya Google Tensor ina clockspeed kubwa 2800MHz kuliko ya iPhone 11 ambayo clockspeed yake ni 2650MHz tu.
3. CPU cores kwenye Google Tensor ni nyingi 8 (2+2+4) kuliko za Apple A13 Bionic 6 (2+4)
4. Lithography process ya Google Tensor ni 5nm wakati hiyo Apple A13 Bionic ni 7nm
5. AnTuTu score ya Google Pixel 6 ni kubwa (726882) kuliko ya iPhone 11(640641)
Conclusion: GOOGLE PIXEL 6 INA UWEZO MKUBWA ZAIDI WA KUFANYA VITU VIZITO NA HUVIFUNGUA KWA HARAKA ZAIDI KULIKO IPHONE 11.

C. MEMORY
1. Google Pixel 6 ina hadi 8GB RAM iPhone 11 Ina 4GB RAM tu.
2. Google Pixel 6 inatumia memory type ya LPDDR5 ambayo ni faster kuliko LPDDR4X ya kwenye iPhone 11.
3. Google Pixel 6 ina storage ya 128GB na 256GB basi, iPhone 11 ina storage ya 64GB, 128GB na 256GB.
4. Zote hazina sehemu ya kuwekea Memory Card.
Conclusion: HAPA MSHINDI NI GOOGLE PIXEL 6

D. BATTERY
1. Google Pixel 6 ina betri la 4614mAh na iPhone 11 ina betri la 3110mAh
2. Google Pixel 6 ina 30W wired charger na iPhone 11 ina 18W wired charger.
3. Kwa kutumia chaja zao iPhone 11 hujaa kwa saa 1 na dakika 45 ambayo ni faster kuliko Google Pixel 6 inayojaa kwa saa 1 na dakika 53.
4. Zote mbili zina wireless charging
5. Google Pixel ina wireless reverse charging, iPhone 11 haina.
6. Google Pixel hudumu kwa masaa 8 na dakika 58 kwa kuperuzi mtandaoni. iPhone 11 inafanya hivi kwa muda mrefu zaidi kuliko Pixel 6, masaa 11 na dakika 39
7. Google Pixel 6 hudumu na chaji kwa masaa 16 na dakika 38 kwa kuangalia video, iPhone 11 inadumu kwa masaa 15 na dakika 16
8. Google Pixel 6 hudumu na chaji kwa masaa 5 na dakika 24 kwa kucheza magemu, iPhone 11 masaa 5 na dakika 9
9. Standby time kwenye Google Pixel 6 ni 92hrs na kwa iPhone 11 ni 121hrs
Conclusion: KWENYE SUALA ZIMA LA BATTERY IPHONE 11 IPO VIZURI ZAIDI OVERALL INGAWA TOFAUTI NI NDOGO SANA.

E. KAMERA YA NYUMA
1. Google Pixel 6 ina 50MP main camera, iPhone 11 ina 12MP main camera.
2. Simu zote mbili haziwezi kurekodi video za 8K.
3. Simu zote mbili zinaweza kurekodi video za 4K@60fps, 1080p@60fps na slow motion za 240fps(1080p)
Conclusion: PICHA ZINAZOPIGWA NA KAMERA YA NYUMA YA GOOGLE PIXEL 6 NI ZA HIGH QUALITY KULIKO ZA IPHONE 11. PIA GOOGLE PIXEL 6 INATOA VIDEO NZURI KULIKO IPHONE 11.

F. KAMERA YA MBELE
1. Google Pixel 6 ina 8MP selfie camera na iPhone 11 ina 12MP selfie camera.
2. Selfie camera ya iPhone 11 inarekodi hadi video za 4K@60fps wakati Google Pixel 6 inaishia 1080p@30fps
Conclusion: IPHONE 11 INA SELFIE CAMERA NZURI KULIKO GOOGLE PIXEL 6.

G. MAMBO MENGINE
1. Google Pixel 6 inatumia Bluetooth version ya kisasa zaidi (v5.2) wakati iPhone 11 inatumia Bluetooth v5
2. Google Pixel 6 inatumia USB version 3.1, iPhone 11 inatumia USB version 2
3. Google Pixel 6 inasupport OTG, iPhone 11 hai-support OTG.
4. Google Pixel 6 ina 5G internet speed, iPhone 11 haina 5G
5. Google Pixel 6 ni simu ya October 2021, iPhone 11 ni simu ya September 2019.
6. iPhone 11 itapokea iOS support kwa muda mrefu zaidi kuliko ambavyo Google Pixel 6 itapokea Android updates
7. Google Pixel 6 ina fingerprint scanner ndani ya display, iPhone 11 haina kabisa fingerprint scanner.
8. Kwa mtazamo wangu, Google Pixel 6 ina mwonekano wa kisasa zaidi kuliko iPhone 11

H. GENERAL CONCLUSION
Google Pixel 6 ni simu bora zaidi ya hiyo iPhone 11 kwa hiyo hapo chukua Google Pixel 6. Hizi simu hazipaswi hata kufananishwa.
 
Kaka ulinijibu kitaalamu hakuna mfano
 
Utofauti wa miaka miwili kwenye teknoloji ni mingi sana.

Si ajabu Pixel 6 akawa na modern features kuliko Iphone 11.
 
Anamtoa mpaka IPhone 11??

Nina 11 na pixel
Picha natumia pixel kupiga

Mengine nafanyia kwenye 11
d5e0cc9d-aa46-4595-b6c8-df1808625f93.jpg

c03a1cf0-88ac-4ed6-aaed-0cea82ff4f98.jpg

Ya juu ni 11

Ya chini ni pixel
 
Back
Top Bottom