msaada modem haidetect sim card tena

msaada modem haidetect sim card tena

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
nimeinstall driver ya usb camera then inasoma kama vile nimeconnect device.. Kuweka modem haidetect laini.. natumia antivirus ya AvG.. Na katika firewall inasoma devices n printers disabled.. Nikitumia wireless, tuseme joiku.. Inakubali but shida ni modem.. Inakubali kwenye pc nyingne but hpa kwangu inagoma.. Msaada wakuu
 
Unatakiwa uondoe au stop the firewall.
Halafu inaonekana hio software ni corrupted!
Uninstall hio software ya modem Halafu make sure anti virus iko switched off pamoja na firewall. Then install upya hio software.
Ikishindika hapo. Ujue hio software aikubaliani na running system ya pc yako.
Find different modem
 
nimeinstall driver ya usb camera then inasoma kama vile nimeconnect device.. Kuweka modem haidetect laini.. natumia antivirus ya AvG.. Na katika firewall inasoma devices n printers disabled.. Nikitumia wireless, tuseme joiku.. Inakubali but shida ni modem.. Inakubali kwenye pc nyingne but hpa kwangu inagoma.. Msaada wakuu

Ka enable modem usb kwenye device manager and you're done
 
shukrani.. Yalinishinda nikapiga window chini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom