Msaada kuhusu friji

Msaada kuhusu friji

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,946
Reaction score
5,382
Vipi friji mpya kukaa muda mrefu bila kutumika inaweza kuleta tatizo la lolote la kiufundi?
NB: imetumika kwa wiki tatu tu then ikawekwa kando kwa zaidi ya mwaka sasa.
 
Vipi friji mpya kukaa muda mrefu bila kutumika inaweza kuleta tatizo la lolote la kiufundi?
NB: imetumika kwa wiki tatu tu then ikawekwa kando kwa zaidi ya mwaka sasa.
Hakuna tatizo. Mimi yangu imekaa miaka mitano sasa na bado ni nzima i.e inafanya kazi.
 
Back
Top Bottom