Msaada jinsi ya kudownload application na kuzisave kwenye sd card

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
habarini wadau je naweza kudownload application kwenye simu ya os ya android then hzo application nika zisave.kwenye sd card na cyo internal space ya sinu asanteni sna
 
Uwezekan upo bt inategemeana na aina ya cm, kama vp weka aina ya cm na model yake
 
hata mi na tatizo hilo natumia samsung Galaxy Min GT- S5570 internal memory ndogo so napenda kuziweka kwenye Memory Card. Asante
 
Emb jarib kufanya hv nenda seting>application>app management>on sd card

Uki click hapo kwenye sd card kama hyo app inaweza ku move to sd card itakuonesha kwa chini.

Na kama ikiwa inagoma hamna hata app moja inakubl au kutoa option ya kuimove kwend sd card, basi inawezakuwa ze way walivyotengeneza phne yako hcho kitu hawakuweka.

Kwa kupata ufumbuz wa hlo tatzo unashauriwa ku root cm yako, ili uweze ku2mia app kama ROM manager.

Emb jaribun kwanza,halaf mrudi hapa.
 
Wakati wa Installation kwenye Google Market, baadhi ya apps huwa zinatoa option ya installation yake kufanyika katika SD Storage.
 
Ni kwel bt pamoja na hyo optin kuwepo bdo kuna cm zngne huwa znagoma kufanya hvyo
 
Link2sd app &app2sd hiz zipo kwenye play store
But u must be rooted
 
jamani me natumia techno p 3 na sijui ku root simu ndo nini any help hapa kwa sababu hyo option ya kuset application kusave kwenye sd card ipo but still inazngua
 
ilinitoa jasho la meno, hadi nimefanikiwa kui root tecno N3, uki google kidogo tu njia inakuja bila tabu ila uwe na subira.
hizo option mlizosema hapo kwenye sd card zinakwenda user data tu. hadi utumie Link2sd app &app2sd ambazo zinapatikana bure kwenye google store. unatakiwa uigawe kadi yako sehemu mbili, sehemu moja iwe FAT 32 (utawekea mizigo yako )NA ya pili iwe ext2 au ext3 au ext4. hii itatumiwa na simu kuweka application na unaifanya iwe kama internal memory. reason behind ni speed of access, ili simu yako isije ikachelewa kwani sd card haina speed kama internal memory
 
safi sasa naomba process za kufuata na mimi niweze ku root hii techo yangu p3 na hasara za ku root ni zipi asante sana
 
Emb jarib kufanya hv nenda seting>application>app management>on sd card

Uki click hapo kwenye sd card kama hyo app inaweza ku move to sd card itakuonesha kwa chini.

Na kama ikiwa inagoma hamna hata app moja inakubl au kutoa option ya kuimove kwend sd card, basi inawezakuwa ze way walivyotengeneza phne yako hcho kitu hawakuweka.

Kwa kupata ufumbuz wa hlo tatzo unashauriwa ku root cm yako, ili uweze u2mia app kama ROM manager.

Emb jaribun kwanza,halaf mrudi hapa.
Be blessed, nimeweza kuhamishia some apps

kwenye sd?
 
Back
Top Bottom