Habari za asubuhi wanajavini.
Mimi nahitaji STRONG SETELLITE RECEIVER ambayo ni MPG4, HD na yenye HDMi. Kwa ambaye anafahamu duka linalo uza aina hii ya receiver kwa hapa dar anielekeze. Asanteni sana.
Hii ni free to air au nikwa pay tv au for both free to air and pay tv, naomba pia ufafanuzi wa bei yake, kwani 300k sijakuelewa una maana gani.