naombeni mnaofahamu hili tatizo nilikuwa nyumbani shinyanga naitumia kuifadhia mafaili ya shule na mambo mengine mengi sasa leo nikiichomeka inaniambia niiformat niki cancel inagoma kusoma kwakuwa...
Hellow guys, nimeku na hii article kwa jamaa mmoja wa kenya, what are your views on it?
I recently wrote about how to upgrade the Huawei U8150 to Android 2.3.x, Gingerbread and buoyed by the...
simu yangu imepoteza OS baada ya kuroot cmu yng nikareset ambapo kawaida yake uwainafuta program zote ambazo ulizidownload bt this time imefuta vitu vyote including OS inawaka bt hainipeleki...
sasa hivi nimefungua kat.ph kudownload viking s01e09 nikaclick magnetic link ilivoanza tu kushusha info zake, nikawa naianglia kwenye list ya downloads haikuwepo, badala yake ipo kwenye...
Leo tutengeneze 3D BLING BLING TEXT EFFECT
Hatua 1
andika neno ambalo tutalibadilisha kuwa bling bling likikamilika. Ukishaandika, Right click kwenye layer palette na chagua Rasterize layer...
Believe or not thousands of Facebook accounts being hacked every day but only some people that aware about this. Some Facebook user don't care about this case and they do nothing to protect their...
Habar zenu wakuu, nauliza simu za blackberry zinauwezo wa kugawa internet kama wi_fi, kama ilivyo kwenye sim za android? Kama inawezekana ni application gani inatumika
Kama nitakua sahihi, kuna mabadiliko yamefanyika hapa jf, kuanzia unapofungua (ku-loggin in) na hata mwonekano wa maandishi. Tangu mabadiliko hayo yafanyike simu yangu aina ya Nokia...
Great thinkers naombeni msaada ni kwa jinsi gani naweza kupata meseji hii 'sent from my blackberry/tablet/galaxy@airtel/vodacom etc kwenye tablet yangu.
Nina tumia tablet ya lenovo na mtandao wa...
wana jf naomba mnifahamishe wapi naweza kuapta kadi ambayo naweza kuona english primier leugue na ni dish la aina gani na recever aina gani ambayo ita fanya kazi vizuri nadhani nimeeleweka na kama...
Hack Your BroadbandStep 1: Download any port Scanner (i preffer Super Scan or...
1 month ago
Hack Your Broadband
Step 1: Download any port Scanner (i preffer Super Scan or IPscanner)
Step 2...
The government of the Netherlands has announced plans to grant police permission to hack into computers located abroad in an attempt to fight online crime.
The powers, which also give police the...
Hapo zamani nilikuwa niki surf mtandao wa JF bila shida kupitia kwenye simu yangu ya mkononi aina ya Nokia 7610 lakini kwa sasa kila nikijaribu kuingia naambiwa "This site has sent an untrusted...
Hawa jamaa wameakuwa wakijitangaza kuwa na chaneli 24 kwa sasa huku wakijinadi kuziongeza hadi 60 kwa hapo baadaye;lakini cha kushangaza,hawasemi hizo 24 walizonazo kwa sasa ni zipi.Kwa hiyo kwa...
Movie characters never use a mouse, instead opting for the kind of magic holographic devices which have also become a routine part of police procedural TV shows.
On the big and little screens...
Wadau naombeni ufafanuzi wenu kuhusu hii application yaJF ya BB kwenye suala zima la kudisplay picha kwani nimejaribu kuitumia ila nikifungua thread zenye picha naandikiwa attachment mpaka tena...
Nilinunua ile 3GB Bundle, inaisha kesho, yaani hata 500MB nimeshindwa kutumia, yaani ni ovyo kabisa inadrop data sana, kufungua page mpaka urefresh mara 3-4 ndo unaingia, hizi ndo Ping ninazopata...
MAY
1
Microsoft Watumia Jina la Kingazija
Kampuni ya Microsoft imeingia jikoni kuanza kupika software ambayo itatumiaka kwa njia ya mtandao (remote network) kuingizwa katika tableti au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.