Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
sasa hivi nimefungua kat.ph kudownload viking s01e09 nikaclick magnetic link ilivoanza tu kushusha info zake, nikawa naianglia kwenye list ya downloads haikuwepo, badala yake ipo kwenye downloaded, sasa sielewi inawezekanaje kudownload in one minute file kubwa la mb 300 na kitu..
au ni nini?
au ni nini?