kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Wadau naombeni ufafanuzi wenu kuhusu hii application yaJF ya BB kwenye suala zima la kudisplay picha kwani nimejaribu kuitumia ila nikifungua thread zenye picha naandikiwa attachment mpaka tena niifungue hiyo att. Ndo niione picha wakati hapa natumia Opera mini naziona picha direct,,hii imekaaje,au ni kwangu tu?