Watumizi wa pd-proxy!! Hii ni kwa ajili yenu.

Watumizi wa pd-proxy!! Hii ni kwa ajili yenu.

EMPTY

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
978
Reaction score
1,196
Thank you all. The thread has expired once again, sorry for inconvenience.
 
Ngoja tuwasikie na wengine watasemaje!!
 
haya mambo yawe yanatupiwa nyt kali mfano 1am hadi 5am..post inafutwa....mwendo mdundo..otherwise ndio yatakuwa mambo ya utamu unakuja utamu unakata...
 
haya mambo yawe yanatupiwa nyt kali mfano 1am hadi 5am..post inafutwa....mwendo mdundo..otherwise ndio yatakuwa mambo ya utamu unakuja utamu unakata...

Ni kweli, mambo haya yawe yanatolewa usiku wa manane tu (mid-night only)
 
Ok wakuu. Kee an eye at midnight for the trick.
 
Mid night sio mbaya ila iwe kwa pm tu maana public kila mtu anapita hata mpita njia ananyaka hiyo ishu matokeo yake watu wanabeba na kumwaga haya mautamu kwenye Uso kitabu utamu wote kwishney.
 
Ok mkuu abulzahra labda unapendekeza nani na nani warushiwe pm (ambao una wa-trust.??)
 
Last edited by a moderator:
Ok mkuu abulzahra labda unapendekeza nani na nani warushiwe pm (ambao una wa-trust.??)
Swali muhimu sana hili na jibu lake ni gumu sana. Mimi naamini tunaojaribu kuwakwepa ni waajiriwa na wanaofanya kazi kwenye ofisi zao mchana, wakati wa usiku wanakuwa wamechoka, wamelala ili waweze kuamka mapema kuwahi kazini kuendelea na majukumu ya kazi.

Hivyo mambo yetu yakiwekwa hadharani katika muda wa midnight, tunaweza kufanikiwa kuwakwepa. Napendekeza iwe usiku na publicly.
 
Last edited by a moderator:
oya pm watu unaowa trust kaka na mie anaeni trust ani pm
 
Swali muhimu sana hili na jibu lake ni gumu sana. Mimi naamini tunaojaribu kuwakwepa ni waajiriwa na wanaofanya kazi kwenye ofisi zao mchana, wakati wa usiku wanakuwa wamechoka, wamelala ili waweze kuamka mapema kuwahi kazini kuendelea na majukumu ya kazi.Hivyo mambo yetu yakiwekwa hadharani katika muda wa midnight, tunaweza kufanikiwa kuwakwepa. Napendekeza iwe usiku na publicly.
no hata ikiwa usiku isiwe public hapa ni anamwamini m2 wake waliowahi ku share kitu ana m pm mjue hata wao saivi wanaona kuwa badae night tutafanya ivo xo tuwe makini isiwe public nooooo
 
Wakuu hii ni kitu kdogo sana ngoja nianze kuPM halafu uone kama sio kichekesho.
 
no hata ikiwa usiku isiwe public hapa ni anamwamini m2 wake waliowahi ku share kitu ana m pm mjue hata wao saivi wanaona kuwa badae night tutafanya ivo xo tuwe makini isiwe public nooooo

Hata hivyo ni sawa tu kwani tunataka mambo yawe salama. Nikizungumzia kuhusumimi, watu niliokuwa nashare nao siwaoni, sijui wamebadili IDs!!??

Mkianza ku-PM-ana msinisahau plse!!!
 
Swali muhimu sana hili na jibu lake ni gumu sana. Mimi naamini tunaojaribu kuwakwepa ni waajiriwa na wanaofanya kazi kwenye ofisi zao mchana, wakati wa usiku wanakuwa wamechoka, wamelala ili waweze kuamka mapema kuwahi kazini kuendelea na majukumu ya kazi.

Hivyo mambo yetu yakiwekwa hadharani katika muda wa midnight, tunaweza kufanikiwa kuwakwepa. Napendekeza iwe usiku na publicly.

hilo nikweli
 
HINT: SASA ISIWE MTU UNAMEGEWA MAUJANJA PM ukataka masifa kwenda kuyapaste facebook au kwenye blogs zenu....HAPO TUTAKUWA TUNAJIUMIZA WENYEWE TENA HUO NI UJIN*#A
 
Back
Top Bottom