Mimi natumia huawei u8185 ascend y100 lakini tatizo ni kwamba imegoma kusomeka kwenye pc kila nikijalibu kuplug kwa pc. Pc inasema usb device not recognized naomba msaada wenu ili niweze kuinstall...
heshima zenu wana jf ninayo laptop ya dell ins 6000 hdd 60 gb ram 512mb ya kizamani kidogo hdd yake inaonyesha imekufa imekufa na niko mikoani,baada ya ku google inaonyesha max hdd capacity kwa...
Habari wakuu!
kuna taarifa kuwa kuna baadhi ya vifaa ukivinunua nje ya nchi huwa havina kodi. Pia kuna baadhi ya vitu hupokelewa POSTA na siyo Bandarini, naomba kujuzwa baadhi ya vitu...
habari wana Tech,kichwa cha habari hapo juu sijakiweka kama swali mtani wia radhi,nilitaka kujua endapo mtu akiamua kusoma maybe certification ya CCNA(CISCO) ,Concept in programming,orWeb...
Hello JF wataalamu!
Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidelines hizi hapa chini
-Maana
-How to hack
naomba kuwasilisha
nimejaribu kugoogle naona sipati majibu stahiki, kwa mwenye ufahamu naomba anipe mwongozo
1.What is the mechanism of digitized sound?
2. how does the computer reconstruct sound wave from a sample...
Wanajamvi,
Ninamba msaada. Hizi simu zina stack sana!
Sometimes unakuwa unafanya kazi na imagoma.
Zote zine external SD card zenye GB16
Natanguliza shukrani
Helloi JF wataalamu!
Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidlines hizi hapa chini
-Maana
-How to hack
naomba kuwasilisha
Wataalam,
nawezaje ku block unwanted calls kutoka kwa mtu ambae analeta usumbufu kwenye simu niliyoitaja hapa juu. Yaani nataka akipiga isomeke sipo hewani!! Maana ni kero sasa. Naomba msaada na...
Habari wana jf laptop yangu aina ya toshiba sattelite c850 imegoma keyboard baadhi ya keys sa nahitaji kureplace naulizia wanapoziuza maana sitaki kutumia external keyboards
heshima mbele wakuu.
nilikua najaribu ku restore window iliyokuwepo mwanzoni kwenye DELL D270 kwa kutumia Acer eRecovery Management but restore system kila ikifika kwenye 99% ina stuck kwa mda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.