Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Wadau simu yangu ya IDEOS/huawei imeleta muskiri kidogo kila nikitaka kuangalia salio,kuingia kwenye huduma za tigo pesa,au nmb mobile,simu inagoma inaleta ujumbe "Connection problem or Invalid MMI code" nifanyaje kurekebisha hii kitu?