Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Habari wakuu ningependwa kujuzwa kazi ya privacy lock kwenye simu ,pia hyo k2 kwa cm za samsung ipo au machina 2
ipo kwny samsung. Kumbuka hata samsung ni mali ya china.
hiyo unafunga private things kama meseji, calls, memory card(files)...nk au we hujaona vitu vilivopo ktk hiyo privacy?nataka kaz yake mkuu
hiyo unafunga private things kama meseji, calls, memory card(files)...nk au we hujaona vitu vilivopo ktk hiyo privacy?
kama una pass za simu weka au kama ni mpya weka 1234cjaweza kuona koz imeomba pac nikagwaya kuweka
Wa china wameinunua lini Samsung?ipo kwny samsung. Kumbuka hata samsung ni mali ya china.
Wa china wameinunua lini Samsung?
Wa china wameinunua lini Samsung?
Wa china wameinunua lini Samsung?