Nitapata wapi Chip hii?

Nitapata wapi Chip hii?

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,163
Reaction score
5,624
nahitaji IC ya HP Probook code yake LM 393.

Kama unayo nitajie nitakupataje.
 
Mkuu funguka zaidi kiunagaubaga ni kwa jili ya nini? Sound?
somehow itakuwa ni chip ya power circuitry. fundi alikagua motherboard akakuta imebabuka na nahitaji ku replace. kama una spare motherboard ya hp probook itakuwa imo.
 
nahitaji IC ya HP Probook code yake LM 393.

Kama unayo nitajie nitakupataje.



LM 393.jpg

Hii ni ya power supply, nenda KVD utapata
 
Back
Top Bottom