Htc na tecno

Htc na tecno

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Ndg habari zenu wanajamvi naomba kujua kampuni ipi inatoa cm nzuri na imara kat ya hzo nilotaja
 
HTC wako vizuri mkuu. na wana technolojia nzuri ya utengenezaji. hivyo vitu vyao vingi kwa hivi sasa viko vizuri sana, na wanaonyesha wanazidi kuboreka. pia wanatumia Operating Systems za Android na Windows. Mtazamo binafsi
Karibuni sana Godfrey Electronics Tanzania
 
KWA maelezo yako mkuu ni htc gani ambayo ni ya bei ya chn ila inarun OS ya android
 
Back
Top Bottom