Watalaam wetu,naomben mnisaidie namna ya kutatua tatizo la sim yng tecno t756,nilii-restore factory bahat mbaya,sasa baada ya hapo imeanza kusumbua kwa kila mara kusearch mtandao na pia kuandika "exit safe mode",ukitaka kuexit inakambia restart,na ukirestart baada ya muda exit inakuja tena