Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina simu ya huawei imejilock yaani mpaka sasa mtandao haikamati..naomba mwenye maujuzi anisaidie..
0 Reactions
1 Replies
990 Views
naomba nijulishwe ni jinsi gani nifanye ili niweze kuwa mtaalamu wa computer kiujumla na mambo ya hacking! kwa sasa sina knowledge yoyote ya computer!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wataalamu wa Android naombeni msaada simu yangu samsung s3 kuna baadhi ya applications hazifunguki huu mwezi sasa. Haifungui Jamii forums, na mimi nisipoingia jf siku moja tu napata homa. Hata...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada, Nimeinstall win 8.1 kumbe haina office nikaweka office cha kushangaza sioni excel wala progarams nyingine na nina shida sana na excel nifanyeje. Mashine inapokea 32bit
0 Reactions
1 Replies
801 Views
i have my original copy of window 7 in a flash (bootable enabled) means nimeshaa tengeneza bootable kwenye hii flash and is ready so NINA PC MPYA KABISA HAIJAWAHI KUWEKWA WINDOW YOYOTE (samsung...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habar zahumu ndani wanajf kwa mda WA siku 3 sasa operamin yangu inagoma kudownload kitu chochote kile natumia android os 2.2
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Dell-Inspiron 6000. Inawaka na kukata kabla haijadisplay chochote
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuzi wa mambo hizi issue za kazi za online kuna ukweli chech hiyo. GetPaid4Visits.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
0 Reactions
8 Replies
2K Views
asanteni sana..badala ya kuelimisha,nimekumbana na vijembe vingi hivyo nimeamua niifute hii thread!!!!!!!
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Ndugu wana jamvi la jamii forum, huu mtandao wa voda nakua namashaka nao jinsi siku zinavyosogea, walianzia CHEKA BOMBASTICK YA 900 kwa dk 60, wakatoa wakaweka cheka ya dk 25, sasa hv sh 500...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
IJUE GRAPHENE KWA UFUPI SANA NA LUGHA RAHISI, Hiyo ndiyo graphene, material nyembamba kuliko zote duniani (mara milioni kuliko karatasi nyembamba) hadi kufikia kuitwa a two dimensional object...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nataka kununua desktop yenye graphic memory kubwa kwa ajili ya graphic design and gaming je nitaipata wapi na kwa bei gani na specification zake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa hili msaada nilifuta whatsapp kwa bahati mbaya sasa baada ya kupakua tena ndani ya play store imegoma kufunguka inaishia kutoa ujumbe kama hivi initializing wait a moment sasa hiyo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Computer yangu "DeskTop" sasa wiki ya pili kila nikiwasha wakati inafanya POST kabla ya kufika sehemu ya ku-run applications inanitaka nichague either i-run kwa Safe Mode, Normal n.k. Siku za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu anayeweza kunisaidi kuichakachua ps3 tafadhali ikawa inaweza kusave game ndani kwa ndani tafadhali naomba msaada wake na. Yangu ya simu ni 0714061310.nipo tayari kulipia gharama,system...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
I clearly remember how I first tried to hack a system. My own laptop. Back then I was running on windows XP. After going through a few tutorials on introduction to hacking, I was able to crack...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu, naomba msaada. Niko hapa kwa muda napiga jalamba. Ninawezaje kuwasiliana na familia yangu, ndugu na jamaa wa Tanzania kwa bei rahisi? Cheap call cards? au??? Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau ,nam nmeingia kwny android tajwa. tatzo n kuwa sijui kutumia apps nying,MF.nltaka kutumia Instagram, ,sim ikaniambia niende play store nikai-update ila nikitaka kuingia play store sim...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Help please!Where can I download a dictionary whose words are transcribed phonetically either offline or online with Nokia Asha 210 dual SIM?
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…