Msaada wa excel kwenye windows 8.1

Msaada wa excel kwenye windows 8.1

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Wakuu naomba msaada,
Nimeinstall win 8.1 kumbe haina office nikaweka office cha kushangaza sioni excel wala progarams nyingine na nina shida sana na excel nifanyeje. Mashine inapokea 32bit
 
Wakuu naomba msaada,
Nimeinstall win 8.1 kumbe haina office nikaweka office cha kushangaza sioni excel wala progarams nyingine na nina shida sana na excel nifanyeje. Mashine inapokea 32bit

Hapop unahitajika kuinstall microsoft office either 2007, 2010 au 2013 zina hiyo kitu unayohitaji by the way ulifanikiwa kuactivate hiyo window 8.1 if yes ulitumia njia gani ?
 
Back
Top Bottom