how can i refer a post with mobile device?

how can i refer a post with mobile device?

unamaanisha kulink?

untakiwa uwe na link ya hio post halaf utumie tag za bbcode za url

mfano mimi nikitaka kulink hii post yako ntaandika hv

[url]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/544535-how-can-i-refer-a-post-with-mobile-device.html#post7667103[/url]

link utaipata juu kwenye browser
 
unamaanisha kulink?

untakiwa uwe na link ya hio post halaf utumie tag za bbcode za url

mfano mimi nikitaka kulink hii post yako ntaandika hv

[url]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/544535-how-can-i-refer-a-post-with-mobile-device.html#post7667103[/url]

link
utaipata juu kwenye browser

Hizo namba umezitoa wapi? maana simu zetu hazioneshi post namba.
 
sijaelewa kitu hapa,ina maana nikitumia Opera mini ndiyo nitaweza kupata hizo codes za kulink?
 
sijaelewa kitu hapa,ina maana nikitumia Opera mini ndiyo nitaweza kupata hizo codes za kulink?

Njoo nikuelekeze taratibu Captain. Unatumia Operamini au browser gani?
Tufanye ni opera mini, unataka ku-refer post flani hapa. Haya kwanza ifungue hiyo post. Copy url pale juu (Anuani ile juu yote).
Hafu sasa mfano unataka kupost hivi: "Leo chief mkwawa ametufundisha kurefer post na mm ninejua. Oneni mfano huu: (kisha weka arama ya [url**] hafu paste hiyo url ulio copy lisha malizia na [/url**] unakua umemaliza kaka. Hizo nyota nyota hzihusiki. We zitoe. Nikizitoa hapa italeta blanc hutaona kitu mzee.
 
Back
Top Bottom