Maelezo yaliyothibitishwa jinsi ya kutumia internet bure.. Kama mimi muongo nipeni adhabu yoyote

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20
asanteni sana..badala ya kuelimisha,nimekumbana na vijembe vingi hivyo nimeamua niifute hii thread!!!!!!!
 
Unataka kufundisha watu kuwa wezi?. Ulaaniwe kwa wizi wako?.
 
Kuna uwezekano wa kutoa na kuweka laini kwenye moderm bila ya kuichomoa kwenye PC?. Nijuzeni wandugu.
 
MAJIBU YENU WADAU.

>>>>KAMA MIMI MUONGO BASI NIPENI ADHABU YOYOTE


ZANGATIA YAFUATAYO
1.NUNA LINE 2 ZA AIRTEL
2.SAA SITA USIKU,WEKA LINE MOJA KWENYE MODEM HALAF PING
3 IKIFIKA SAA KUMI NA MOJA,BADILI HIYO LINE.WEKA ILE NYINGINE HALAFU PING TENA
4.NAKUHAKIKISHIA KUWA HUTAKUWA DISCONNECTED KWA SIKU NZIMA

ANGALIZO:
USIIZIME WALA KUICHOMOA MODEM YAKO.KAMA UTAZINGATIA HAYO.SURE,UTATUMIA NET BURE.
KAMA MIMI MUONGO,KABLA HUJANI LAUM SANA,JARIBU KWANZA.
>>>> KAMA HAUAMIN ITS OK



UKITAKA KUSOMA,,NENDA KWENYE HII THREAD AMBAYO NILIIANDIKA JANA HAPA HAPA JAMII FORUM
.

KABLA HUJALAUMU NA KUKEJELI,NI BORA UKAJARIBU.NILICHO ANDIKA NI CHA UKWELI



THREAD IPO HAPA <<BOFYA>>

Umetumwa kufanya Promo? Hiyo ipo wazi kwani hutoa bonus kwa kila salio uliloongeza na bonus hiyo hutumika muda ulioutaja.
Hongera kwa kufanya Promo
 
kuna uwezekano wa kutoa na kuweka laini kwenye moderm bila ya kuichomoa kwenye pc?. Nijuzeni wandugu.
ninacho maanisha ni kwamba,mfano,leo ni tarehe 14.unataka tarehe 15 utumie free.fuata hayo maelezo ila hakikisha kuwa computer huizimi wala modem huichomoi. Ukichoka basi unaweza ukaichomoa ila ndo basi tena
 
umetumwa kufanya promo? Hiyo ipo wazi kwani hutoa bonus kwa kila salio uliloongeza na bonus hiyo hutumika muda ulioutaja.
Hongera kwa kufanya promo

hii siyo promo!!!!!!!!!
Ni kweli unkiongeza salio unapewa bundle la usiku ambalo mwisho wake ni saa kumi na mbili asubuhi na si siku nzima..naamni umeelewa
 
instead of thanking for inf sharing watu wanalalamika..cha msingi kama unahitaji service ijaribu! kama hujaipenda unaipotezea!!
 
huuu siyo wizi ni kazi ya ma xperts kuonehsa holes kwenye system kama hizi na ndiyo inawapa wataalam wao challenges za kuboresha huduma na kugundua technolojia mpya kwani challenges ndo msingi wa maendeleo na ndo kazi za huckers
 
hakuna cha uexpert hata kimoja. ni kutupotezea muda tu. hamna hole wala niini
 
asanteni sana..badala ya kuelimisha,nimekumbana na vijembe vingi hivyo nimeamua niifute hii thread!!!!!!!
Pole mkuu unajua hapa JF kuana pumba na mchele, yaani kwenye msafara wa mamba na kenge pia wamoendelea kutupa maujanja mkuu, hii ndio teknolojia yenyewe

Darasa lako ni la kutufundisha wizi?
Umefuata nini huku, huku hatuna longo longo bana ni kupeana maujanja
Unataka kufundisha watu kuwa wezi?. Ulaaniwe kwa wizi wako?.
Kuna uwezekano wa kutoa na kuweka laini kwenye moderm bila ya kuichomoa kwenye PC?. Nijuzeni wandugu.
Hebu muangalieni naye huyu alivyo kigeu geu
instead of thanking for inf sharing watu wanalalamika..cha msingi kama unahitaji service ijaribu! kama hujaipenda unaipotezea!!
Mkuu u said it all
Nachukia sana watu wanapolifanya jukwaa la hili kama la siasa vile, kama unaona vipi potezea bana
Hapa ukileta maujanja watu watahoji utendaji kazi wake na si vinginevyo
 
Jamani tusikatishane tamaa bure!! Kwani hii ni thread ya kwanzanya aina hii?? Mbona thread za namna hii nyingi sana zimepita humu bila ya kuwatukana waanzishaji?? Kwa mfano tulifundishwa humu jinsi ya ku-hack huawei modems. Jozzb kakosa nini mpaka atukanwe??? Acheni hizo jamani!! Kama hutaki potezea tu waache wanaotaka. Pole Jozzb, usikate tamaa, tuletee vitu vingine utakavyoona vitatufaa.
 
Back
Top Bottom