Nimekwama na whatsapp imegoma

Nimekwama na whatsapp imegoma

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Posts
1,232
Reaction score
444
Wadau wa jukwaa hili msaada nilifuta whatsapp kwa bahati mbaya sasa baada ya kupakua tena ndani ya play store imegoma kufunguka inaishia kutoa ujumbe kama hivi initializing wait a moment sasa hiyo moment imekuwa zaidi ya 24hrs imepita sasa iko hivyo hivyo.. msaada wenu please.
 

Attachments

  • 1382856442013.jpg
    1382856442013.jpg
    31.1 KB · Views: 127
km njia zote hukufanikiwa nakushauri backup data zako wipe sim uanze upya.
 
Mm nikuize ki2 hiyo laini unayotumia ku downlond ndio lain uliotumia kuset nambar kwenye whatsApp ?@chescoMatunda
 
nenda setting then application manager katika downloaded utaiona whatsap click then utaona force stop click hio force stop halafu rudi menu open tena whatsap je tatizo litaendelea?
 
Mm nikuize ki2 hiyo laini unayotumia ku downlond ndio lain uliotumia kuset nambar kwenye whatsApp ?@chescoMatunda

Hii ni laini mbili galaxy duos nimejaribu kubadili namba tatizo liko vile vile..
 
nenda setting then application manager katika downloaded utaiona whatsap click then utaona force stop click hio force stop halafu rudi menu open tena whatsap je tatizo litaendelea?
Haijasaidia pia..

Nimekwama hapo sijapata ufumbuzi mpaka sasa msaada wenu mwenye uzoefu na tatizo kama hili.. please eeee..
 
Back
Top Bottom