How to make Cheaper calls from UK to Bongo (Tanzania)

How to make Cheaper calls from UK to Bongo (Tanzania)

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,236
Wakuu, naomba msaada.

Niko hapa kwa muda napiga jalamba.

Ninawezaje kuwasiliana na familia yangu, ndugu na jamaa wa Tanzania kwa bei rahisi?

Cheap call cards? au???

Natanguliza shukrani
 
Sio tu bongo hata uk,new york,stockholm ujawahi kusikia mtu amelala na njaa ndani ya paris ufaransa? Mkubwa kama maisha yamekupiga rudi bongo yani kupiga cm tanzania kusalimia ndugu unajiuliza? Rudi bongo wewe huku maisha safi!!!
 
Mkuu samahani, ila nadhani hujanielewa.
Tke time to understand before you comment.

Since I have managed to come here, I can as well call international phones by using the rates of telephone provider.
By, the way, why throwing away money while there are cheaper options?

Tell me, when was the last time that you took money from your pockets and throw away????:smile-big:
Do you know why England was the first country to industrialize?

Sio tu bongo hata uk,new york,stockholm ujawahi kusikia mtu amelala na njaa ndani ya paris ufaransa? Mkubwa kama maisha yamekupiga rudi bongo yani kupiga cm tanzania kusalimia ndugu unajiuliza? Rudi bongo wewe huku maisha safi!!!
 
Mi nadhani kunaweza kua na njia mojawapo kati ya hizi:

1. Kutumia internet calls
2. Kutumia Alyenatives kama Viber etc
3. Kama kuna vifurushi (bundle) mfano Cheka zetu huku za international ungeunga.

Sorry kaka sina ufahamu sana aisee.
 
Hapo kwenye viber nadhani ndo muafaka kwa hali ya sasa!! 1mb unaweza ongea hata dk 10 popote duniani!!
 
Kama kuna access ya VoIP calls unaweza kutumia kupigia sehemu yoyote duniani kwa bei rahisi sana! Apps kama ActionVoip, VoipDiscount na nyingine nyingi zinaweza kukusaidia.
 
Ni rahisi tu, viber au skype phone! Kuhusu kwality mwambie alie tz atumie internet provider mzuri, it works perfect
 
Back
Top Bottom