Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani naomba mnisaidie firmware iliyo kua bomba ya hiyo modem ya huawei na dashboard ambayo ita sopport all service provider
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukitouch screen ya Huawei 8650-1 mobile phone hairespond chochote, nini solution yake? Natanguliza shukrani wakuu!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
I use vlc media player coz it can be able to play video files with various extensions eg. .flv, .dat, .mp4 etc. I tried opening an flv video file using Media player and it failed to work totally...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tumezoea vya bure,huko mbeleni ukitaka movie itakulazimu kulipia. Major piracy site to be shut down - Major piracy site to be shut down BBC News - Piracy site IsoHunt to shut down and pay $110m
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi, naomba mwenye ujuzi na simu za htc verizon anifahamishe namna ya kujua properties na uwezo wa kukaa na charge. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Jaman nahtaji android kwa aina iwe yoyote lakn iwe na vision kuanzia 4.... Na iwe kubwa kiac kwa upande wa iphone nahtaji iphone 4s au 4g kama unauza vtu kama hivy tirirka bei hapa Sent from my...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Ndugu Wanajamii forum mimi ni fundi wa vufaa vinavyo tumia umeme yaani fundi electronics.nimeona nipost hii topic kwa makusudi maana nimekuwa hasa nikijiusisha na computer nasim hivyo nimekuja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina Laptop niliinunua mpya ikiwa na Windows 8, nimejaribu kui-upgrade kwenda Windows 8.1, nadhani tatizo ni Kaspersky Endpoint Security 10 ambayo ninaitumia kwenye hii laptop. Hapa nimeingia...
-1 Reactions
0 Replies
910 Views
Wakuu nahitaji msaada wenu,.. Natumia simu aina ya Nokia E-71,. Kila mara ninapojaribu kufungua video yoyote kwenye simu yangu iwe kwenye You-tube ama kwenye link yoyote ile inakataa...
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Huku madongokuinama nimetafuta hzo housing hakuna. Vp we unazo uninunulie then untumie huku!!
0 Reactions
5 Replies
868 Views
If the Moon were replaced with some of our planets (at night) 4k This is a visualization of what it might be like if the Moon was replaced with some of the other planets at the same distance as...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
:A S new:Tunaelewa katika shule zenye computer lab zenye internet wanafunzi hutumia muda mwingi kuchati katika mitandao kuliko kutafuta materials za kujifunzia na pia sehemu za kazi wafanyakazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar wakuu.naombeni msaada nina iphone 4s inagoma kuconect na itunes.
1 Reactions
4 Replies
917 Views
naomba mnisaidie key za kuactivate win8.1 32bit
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Salaam wakuu, kwa mimi personally hua naenjoy sana kuangalia muvi yenye subtitle (perhaps ze langweji iz not richabo). kama ulikua unasaka source ya kupata subtitle ya any movie you want, i...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji java tutorio za apps development wadau kwa mwenye link za pdf afanye kama antupia hapa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
aman kwenu wanajf,naomba kujua ni aina gani ya simu yenye uwezo wa kuply videos kwenye youtube na yenye uwezo wa kufungua whatsup na bei zake zikoje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dear friends. Nina simu NOKIA E72 inanletea ripoti ya UNABLE TO PROCESS REQUEST AT THIS TIME (ERROR 999) ninapo log in katika account yangu
1 Reactions
0 Replies
815 Views
I want to do an online exam project But i'm stack on how to put them specific objective Need your suggestions guys.
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…