Wazee wa torrent!

Ni shida,

Today's question is: wa tanzania wangapi wataweza kumudu maisha ya kila siku out of piracy?
 
Jamaa anajiweza aisee... hayo mamilioni aliyotoa ni kwere. Na bado kazi inaendelea

Mwisho wa maneno ni TPB, kila siku wanakamata server zao inatoweka hewani siku mbili inarejea, hao ndiyo wanazi haswaa; owner alishawahi kupigwa jela na kulipa fine lakini wanaume bado wamesimama. Wale wakongwe nadhani mnakumbuka Limewire, wazee wa kukamua malimao walivyopigwa pini na kufa kabsaa, kulikuwa na Ares pia dah! TPB lives on!
 
Jamaa anajiweza aisee... hayo mamilioni aliyotoa ni kwere. Na bado kazi inaendelea
Jamaa bado hajalipa na court inasema hana uwezo wa kulipa kiasi hicho, labda atalipa mil mbili hadi nne tuu.
 
Shida pia ni kwamba huyo jamaa ndiye anayehost pia baadhi ya torrent sites,akifungiwa na site nazo zinakuwa hazipo.
 
Shida pia ni kwamba huyo jamaa ndiye anayehost pia baadhi ya torrent sites,akifungiwa na site nazo zinakuwa hazipo.
Jamaa alichosema kwenye blog yake ni kuwa watafanya tu mabadiliko ya mfumo tu... Ila kazi bado Inaendelea.. na walikuwa wanasherehekea sherehe ya miaka 10 na anafikiria miaka 10 mingine mbele.....

Ngoja tuone matokeo, ila mi naomba jamaa asikate tamaa ili huku bongo tuneemeke
 
ni shida ila sidhani kama watafanikiwa coz hata kama wakifunga hizo torrent sites bado kuna sites ambazo wanatoa service ambazo torrent walikuwa wanatoa kuanzia cracked software,movie free online,cracked games n.k
 
Tokea nianze kuzisikia hizi habari nadhani yapata ni miaka takribani saba sasa...

Muda wote huo sijaona kama sheria walizoweka zimekuwa msumeno kiasi kutishia kufungwa kwa torrent sites...

So far nakumbuka ni major sites chache zilizoweza kukumbwa na kadhia hii kama MegaUpload na BtJunkie...
 
Tatizo nikwamba security ya haya mambo ni ndogo kwasababu kuna watu wanaitwa hackerz hawa watu sio wazuri kwa upande mmoja lakini kwa upande wa 2 wanatusaidia coz mmoja yuko tayari kununua movie1 na akaweza kuipost kwenye site yake na watu wakaweza ku download for free so itakuwa kuna ugumu ingawa youtube wameweza kudhibiti urusha wa video zisizo na vigezo laki nina shaka sana waokushindwa kufanya hivyo kutokana na elimu ya haya mambo nasiri kuwekwa wazi
 
Mwisho wa maneno ni TPB, kila siku wanakamata server zao inatoweka hewani siku mbili inarejea, hao ndiyo wanazi haswaa; owner alishawahi kupigwa jela na kulipa fine lakini wanaume bado wamesimama. Wale wakongwe nadhani mnakumbuka Limewire, wazee wa kukamua malimao walivyopigwa pini na kufa kabsaa, kulikuwa na Ares pia dah! TPB lives on!

Hakuna maisha bila torrents. Hata kama tungetaka kununua, mara nyingi ni vigumu huku Africa
 
Torrents ndio ukombozi wetu sisi wengine. Nakumbuka Limewire ilifungiwa, ila haijasaidia, kwa sababu softwares za P2P na torrents ziko kibao. Piracy haiwezi kuisha
 
Mwisho wa maneno ni TPB, kila siku wanakamata server zao inatoweka hewani siku mbili inarejea, hao ndiyo wanazi haswaa; owner alishawahi kupigwa jela na kulipa fine lakini wanaume bado wamesimama. Wale wakongwe nadhani mnakumbuka Limewire, wazee wa kukamua malimao walivyopigwa pini na kufa kabsaa, kuli
Mkuu nashukuru sana hiyo TBP nikua cjui hapa full kupakua...pa1 sana.
 
Back
Top Bottom