Msaada!!!

Msaada!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,882
Reaction score
29,664
Wakuu nahitaji msaada wenu,..

Natumia simu aina ya Nokia E-71,.

Kila mara ninapojaribu kufungua video yoyote kwenye simu yangu iwe kwenye You-tube ama kwenye link yoyote ile inakataa kufunguka!!

Ninapojaribu kufungua napata ujumbe unaosema @define access point first

Tafadhali naomba msaada kwa anayejua tatizo hili,..
 
  • Menu - > Crl.Panel->Settings->Applications->Real Player -> Streaming -> Open ->Network -> Default access Point
  • Hapo kwenye default access point chagua airtel internet(kama ni laini ya airtel unatumia), au voda internet(kama ni laini ya voda)
 
Back
Top Bottom