Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Ukitouch screen ya Huawei 8650-1 mobile phone hairespond chochote, nini solution yake?
Natanguliza shukrani wakuu!
Natanguliza shukrani wakuu!
Kwa msaada na ujuzi nilio nao juu ya simu km utakuwa haujaiangusha basi.
Matatizo kama hayo hujitokeza na sababu kubwa hutokana na screen diod zinazohusika na touch & screen connection
zinaweza kuwa zimefail unachotakiwa kufanya ni kubadilisha touch tu basi na mambo yanakwenda km kawida.
Nakama utahitaji msaada zaidi usiache kunichek...Ooh! Ahsante sana, ntajaribu kufanya hivyo
ooh! Ahsante sana, ntajaribu kufanya hivyo
Nakama utahitaji msaada zaidi usiache kunichek...
utaleta feedback hapa. Mi nina bb imekufa touch pia nataka kupeleka kwa fundi.
Ukitouch screen ya Huawei 8650-1 mobile phone hairespond chochote, nini solution yake?
Natanguliza shukrani wakuu!
nilikua na hii sim and it failed the same way
Nitakustua kukupa feedback!
Nope sikuirekebisha, pia niliambiwa nibadili screen (which if i can remember alidai ilikua around 30-50K). But i ditched it, nilichukua another one. Nilichogundua ni kua hii sim ina tatizo sana kwenye screen maana you are the 3rd person i know sasa kua na hili tatizo, i don't think ni coincidence tu.Uliirekebisha hiyo simu? na kama uliirekebisha ulifanyaje?
Mi nilienda kwa fundi kaniambia ni kubadili touch tu!
Nope sikuirekebisha, pia niliambiwa nibadili screen (which if i can remember alidai ilikua around 30-50K). But i ditched it, nilichukua another one. Nilichogundua ni kua hii sim ina tatizo sana kwenye screen maana you are the 3rd person i know sasa kua na hili tatizo, i don't think ni coincidence tu.