htc phones

htc phones

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Habari zenu wanajamvi, naomba mwenye ujuzi na simu za htc verizon anifahamishe namna ya kujua properties na uwezo wa kukaa na charge. Natanguliza shukrani
 
Htc ni htc tu matumizi ni yaleyale ingawa velzon ipo safi zaid kwenye apps transtion nk.ukitaka ikae na chaji kwa muda zaid inatakiwa uzime 3g.bluetoth.Wifi.unapokuwa hutumii hivyo vitu maana kila kimoja kina kula%3 ya chaji na %5 kwa wifi na%70kwa mwanga wa kioo inabid uset auto au upunguze nihayotu.mkuu
 
ahsante!
 
Back
Top Bottom