Msaada plz.iphone 4s hai connect na itune.

Msaada plz.iphone 4s hai connect na itune.

Maelezo yanatia uvivu kukujibu maana inabidi uulizwe maswali kwanza kabla hujajibiwa
iphone yako original?
Kama ni original ilikuwa inaconnect before?
kama ilikuwa inaconnect hivi sasa ina kupa ujumbe gani?
nk

Ili kuwa kwenye nafasi nzuri ya kusaidiwa jaribu kutoa maelezo ya kushiba
 
Ni original.ndio nimeinunua mkuu.inaonekana kwenye computer ,kama portable device ....MT6235.nime update drivers sijafanikiwa.na Itunes nimeistall version 11.1.2.31
 
Back
Top Bottom