Kushindwa ku-upgrade windows 8 kwenda kwenye windows 8.1

Kitimoto

JF-Expert Member
Aug 25, 2012
5,029
4,685
Nina Laptop niliinunua mpya ikiwa na Windows 8, nimejaribu kui-upgrade kwenda Windows 8.1, nadhani tatizo ni Kaspersky Endpoint Security 10 ambayo ninaitumia kwenye hii laptop.

Hapa nimeingia kwenye STORE

hd2y2v49JaehwAAAABJRU5ErkJggg==




Hii ni baada ya ku-click Windows Upgrade

h9TZdof9Bs9gAAAAABJRU5ErkJggg==




Hii ni baada ya ku-click Download

wfbOdOgZsDFIQAAAABJRU5ErkJggg==



Baada ya kuendelea na kudownload Windows 8.1, ilipofika kwenye katikati ikatokea hii meseji

rpeuZc68exwAAAAASUVORK5CYII=



Baada ya kugoma, kwenye internet explorer ikaja hii meseji

C8srGd5GulOXAAAAAElFTkSuQmCC


link:Windows 8.1 | We're Ready

Itabidi nisubirie update ya Kaspersky Enpoint Security 10 mpaka mwezi wa 12 ambayo itakuwa compartible na Windows 8.1 ndio niendelee na kui-update Windows
 

Attachments

  • 01.png
    01.png
    63.1 KB · Views: 26
  • 02.png
    02.png
    112.1 KB · Views: 25
  • 03.png
    03.png
    3.5 KB · Views: 31
  • 04.png
    04.png
    3.9 KB · Views: 25
  • 05.png
    05.png
    108 KB · Views: 22

Similar Discussions

Back
Top Bottom