Best site for movies' subtitles...!!!

Best site for movies' subtitles...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
kwa mimi personally hua naenjoy sana kuangalia muvi yenye subtitle (perhaps ze langweji iz not richabo). kama ulikua unasaka source ya kupata subtitle ya any movie you want, i recommend Subscene - Passionate about good subtitles hawajamaa wako vizuri sana, kwanza subtitles zao ni HD na pia ziko perfectly synced sio mtu anaongea ndio maneno yanatokea baadae. enjoy!!!
 
Open sub na Subscene wapo vizuri zaidi
Lakini binafsi njia nzuri ni kugoogle labda "Avatar english subtitle" utapata link kibao then utachagua

Swala la subtitle kumatch na movie linategemea pia umeitoa wapi hiyo movie na aliyetengeneza hizo subtitle ametengeneza kwa kutumia copy ipi ya movie aliyokuwa rip kwa kutumia software gani

So kama umedownload movie iliyokuwa uploaded na YIFY kwenye torrent nivizuri ukapata subtitle itakayokuwa imetengenezwa kwa rip ya YIFY
Unaweza kudownload movie ya XoXo na ukaplay na subtitle iliyotokana na copy ya YIFY basi zinaweza kupisha maneno na matamshi, hata hivyo ukitumia VLC Player unaweza kuadjust zikawa sawa
 
Haijawahi kukutokea mkuu kwamba umedownload muvi imekuja na sub yake ila haimatc vizuri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom