juniour12
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 407
- 378
Wakuu naombeni msaada, nili lock simu yangu kwa pattern then watoto wamechezea wakijaribu kuunlock mpaka ikajiblock.Sasa inaniambia too many pattern attempts na inataka ni login kwa kutumia account ya gmail ambayo mimi sikumbuki password wala email niliyo tumia kulogin...Nifanye nini wadau naombeni msaada wenu niweze kuunlock simu yangu.