Msaadap; desktop yangu ipo slow sana...

Msaadap; desktop yangu ipo slow sana...

hujakamilisha Kaka,
hujasema ilianzaje,
au ni toka ulivyoinunua/ na kama ni toka umeinunua/ kwann hukuja muda mrefu/
au umenunua Karibuni/ na kama umenunua karibuni, hujapewa warranty, kaibadilishe?
natanguliza
 
Back
Top Bottom