Help!! Fake na Original Android Smartphones

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,228
Reaction score
1,831
Habari zenu wana-JF, Mimi nina kaswali kadogo tu. Naomba mnipatie orodha ya baadhi ya Simu zenye Android OS ambazo ni fake na Original. Na naombeni maelezo kuhusu hizi Tecno P-Series, Je ni somehow original ama Chinese? Maana kwa jinsi ninavyoziona nimeshindwa kuzielewa kabisa.
 
Hakunaga tecno fake mkuu,nokia,samsung,i phone zipo za kufyatua nyingi sana,tecno ndio simu yenye android ya bei rahisi na inayopiga mzigo bila wasiwasi na ndio maana hawakutaka kujiita nokla badala ya nokia,sungusungu badala ya samsung,kwani wanajiamini na bidhaa zao
 
kaka sku hizi simu huna haja ya kuambiwa simu fulani fake unajua mwenyewe hii ina quality ndogo n Hii ina quality kubwa.

kama una muda kasome kuhusu vitu hivi
-vioo vya simu
-processor za simu
-gpu

ukisoma vioo vya simu utajua vioo gani ni vizuri na vioo gani ni vibaya we ukiona simu soma specs zake then utaweza judge kama ni nzuri au mbaya.

fanya hivyo hivyo kwa processor na gpu zisome za simu zipoje na kisha utaweza kujua ipi nzuri na ipi ina quality mbovu
 
I advice you to use your friend's original android smartphone just for a day or two. Then you will be able to know which one is original and which one is fake for your own when you get one.
 
Atajuaje kama ya rafiki yake ni "Original Android Smartphone" wakti hilo ndo tatizo lake... kutambua original Phone
 
Habari zenu wana-JF, Mimi nina kaswali kadogo tu. Naomba mnipatie orodha ya baadhi ya Simu zenye Android OS ambazo ni fake na Original. Na naombeni maelezo kuhusu hizi Tecno P-Series, Je ni somehow original ama Chinese? Maana kwa jinsi ninavyoziona nimeshindwa kuzielewa kabisa.

P series .akuna fake,check P5 au phantom A+,tecno ziwetulia sana
 
Hakunaga tecno fake mkuu,nokia,samsung,i phone zipo za kufyatua nyingi sana,tecno ndio simu yenye android ya bei rahisi na inayopiga mzigo bila wasiwasi na ndio maana hawakutaka kujiita nokla badala ya nokia,sungusungu badala ya samsung,kwani wanajiamini na bidhaa zao

Mazoeakitu kibaya. Tecno P3 ni android nzuri tu tena sana, lakini kwa vile tumezoea big names, basi hatuamini. I have one and is perfectly well. Nina Samsung na HTC, I can assure you Tecno P3 is doing excellently kama ulivyosemal
 
I advice you to use your friend's original android smartphone just for a day or two. Then you will be able to know which one is original and which one is fake for your own when you get one.

Thanks for the advice bro, I'll try your advice
 
Mazoeakitu kibaya. Tecno P3 ni android nzuri tu tena sana, lakini kwa vile tumezoea big names, basi hatuamini. I have one and is perfectly well. Nina Samsung na HTC, I can assure you Tecno P3 is doing excellently kama ulivyosemal
Nashukuru sana kwa ushauri wako, Nitajaribu kuanza na P3 maana nimepata recommendations kutoka kwa watu wengi kwamba ni smartphone nzuri.
 
Let us make it simple and clear. First of all, when you get a smartphone, claim it is an android genuine smartphone, you should check the following:
1.open menu, then go to "market" or sometimes it is written "play store" and open it. This is where all android apps should be downloaded and installed (we know there is other sources such as apk files and root issues, but there are for higher end users, we are not). make sure when you open it for the first time, it ask you either to login with your gmail account or to signup if you dont have.
All fake android devices will not give you this option.

2.brand new original android smartphone doesnot come with apps like facebook, twitter, opera mini and others installed. You have to install them by your self. Many chinesse/fake androids comes with these apps installed, and you can't uninstall them.

These two guidelines will absulutely help you pal. Try them.
 
Thanks again. Very good advice.
 
Mazoeakitu kibaya. Tecno P3 ni android nzuri tu tena sana, lakini kwa vile tumezoea big names, basi hatuamini. I have one and is perfectly well. Nina Samsung na HTC, I can assure you Tecno P3 is doing excellently kama ulivyosemal

Mbona wengine wanadai tecno p3,d3,d5 na s3 huwa zinazingua kufa camera n.k
 
Let us make it simple and clear. First of all, when you get a smartphone, claim it is an android genuine smartphone, you should check the following:
1.open menu, then go to "market" or sometimes it is written "play store" and open it. This is where all android apps should be downloaded and installed (we know there is other sources such as apk files and root issues, but there are for higher end users, we are not). make sure when you open it for the first time, it ask you either to login with your gmail account or to signup if you dont have.
All fake android devices will not give you this option.

2.brand new original android smartphone doesnot come with apps like facebook, twitter, opera mini and others installed. You have to install them by your self. Many chinesse/fake androids comes with these apps installed, and you can't uninstall them.

These two guidelines will absulutely help you pal. Try them.
Kuna hii Samsung s4 clone unaizungumziaje mana mwanaume alitulia akafyatua kitu kinachofanana na original na hizo features zote unazozizungumZia inazo
 
Back
Top Bottom