Hivi inashindikana kupiga na kutuma sms bure:

Hivi inashindikana kupiga na kutuma sms bure:

Surgical Blade

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
349
Reaction score
16
jaman sijawahi, ona matundu kama haya, na thread hata moja! Hv haiwezekani au mpaka CHEKA, XTREAM, KABANG, EPIQ,
ziondolewe ndo 2je kufunguka akili!
 
Unataka ili iweje?

maswali ya kitoto waache watoto waulzane!
Kila siku a hacker anawaza ku2mia vi2 free, au kwa price Ndogo,
KAMA huwaz chochote kuhusu hackings unge view 2 hii thread na kutembea, sio unaulza vilivyo ulizwa(?)
 
Inawezekana ila nakumbuka siku moja nilipitia google hiyo ya free call bac nikapata site ya kihindi nikaingiza namba code nilitumia wiki free call ilipo kata hadi leo siwezi ila naomba tuumize vichwa ndio mwanzo wa ugunduzi
 
Tena hapa Tanzania nadhani itakuwa ni simple ila watu wanafanya kwa usiri sana.
 
Tena hapa Tanzania nadhani itakuwa ni simple ila watu wanafanya kwa usiri sana.
Kuna line za ule mtandao wetu wa KABANG huwa zinafanyiwa mautundu, zilikua zinauzwa sana mitaani miaka ya 2011 siku hizi sizioni

Sijui wale jamaawalistuka
 
Mbele naonaga,
jamaa hadi wana recharge free,
2umize vichwa wakuu, au 2pitishiane. PM
kama ilivyo matundu ya proxy,
kwa wanaojua bac!
 
Back
Top Bottom