Naomba msaada.

Naomba msaada.

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari zenu wadau. Ninamatatizo mawili nawaomba mnitatulie.
1.Nina pc inayorun window xp. 32 bits nataka kuupdate graphic drivers kuna program nilikuwa na install ikafail kwa sababu graphic drivers are not updated. Nilikuwa na install bluestack kwa ajiri ya kurun android software. Naomba mautundu ya my update.

2.Kila niki update adobe flash player nashindwa so pc yangu haichezi YouTube files. Naomba mautundu ya kufix hizo mambo.
 
1. pc yako ina ram 2gb? kama haina sahau bluestack

2. tumia google chrome au ie 10 kupanda juu kucheza youtube na html5 bila kutumia flash
 
adobe flash player inahitaji speed na strong internet kuiinstall,.. Please take note of this
 
1. pc yako ina ram 2gb? kama haina sahau bluestack

2. tumia google chrome au ie 10 kupanda juu kucheza youtube na html5 bila kutumia flash

Pc yangu ina 2.49gb. Nilizingatia kigezo hiko tabu ni graphic drivers not updated na nadhani flash player inahusika kwenye hiyo bluestack ndio maana nataka install. Help me plz!
 
Pc yangu ina 2.49gb. Nilizingatia kigezo hiko tabu ni graphic drivers not updated na nadhani flash player inahusika kwenye hiyo bluestack ndio maana nataka install. Help me plz!

mi nna miaka sjatumia flash player toka ie10 ilivyotoka. na pia nna bkuestack haijawah nidai flash player.

nipe aina ya pc nikuangalizie hio graphic driver
 
mi nna miaka sjatumia flash player toka ie10 ilivyotoka. na pia nna bkuestack haijawah nidai flash player.

nipe aina ya pc nikuangalizie hio graphic driver

Ni dell,pentium D. Sijui nimekujibu vyema au other information!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom