Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

jmn kuna m2 anaweza kunisaidia jinsi ya kupata hizi video card kwa ajili ya laptop yangu....nimezitafuta lakini kila duka nikienda naambiwa zmeisha au hakuna...sasa msaada if any?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu/mtu kwa wenye IP address hizi hapa chini wamejaribu kutaka kuingia/ku-log in kwenye website yangu (fadhilipaulo.com) mara 12 na mara zote wameshindwa lakini nimedaka IP address zao, je naweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Ninahitaji kununua kitabu kutoka Amazon.com lakini sijui utaratibu wa kulipia. Ninakihitaji hicho kitabu kwa haraka sana. Tafadhalini nisaidieni.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wanajf. Mi sina utaalam sana kwenye masuala ya computer, nimepakua bittorrent na nikafanya installation ila sasa jinsi ya kuanza kutumia ndo nimeshindwa kabisa. nataka nipakue movies...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Naombeni kufahamu juu ya ili kuna simu inauwezo wa 2g je kuna uwezokano wa kuibadirisha iwe kwenye 3g na kama kunauwezakano naomba msaada jinsi ya kufanya hvyo.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zena wana jf nahtaj saa ya sony kama kuna anaejua ntapata wap au hata kunisaidia kuagza nje pleas naomba antaarifu. Thanx
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Android 4.3 update starts rolling out for Galaxy S III, again Android 4.3 update starts rolling out for Galaxy S III, again - GSMArena.com news
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Galaxy S4 and Note 3 will get Android 4.4 in late January Galaxy S4 and Note 3 will get Android 4.4 in late January - GSMArena.com news
0 Reactions
0 Replies
586 Views
habar zenu wakuu nadhani mnamkumbuka huyu bwana Steven Paul or wa eza mwita STEVE JOBS kwa mchango wake katika maendeleo ya teknolojia .ebu jaribu kushea nasi kutueleza unavyo mkumbuka steve jobs
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnijuze kama hii simu inaweza kuwa unlocked ili itumie mitandao yote.Anayefahamu njia ya kuiunlock naomba anisaidie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wAKUU je naweza ku stream au kudownload .. bure natumia modem ya tigo nilinuu kifurushi cha mwezi so bundle for downloading & streaming zimeisha ...sasa naweza kubrowse tu je naweza ku apply some...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Híi kampuni ni mteja wao wa siku nyingi toka enzi za CELTEL. Kuna tatizo ambalo linawakumba wateja wengi (ikiwemo na mimi) la kutopata menyu yao ya "airtel yatosha" . Nimejaribu kwa nguvu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
JF imekuwa ikitangaza shindano la vodacom Appstar challenge ambalo linafikia tamati hivi leo tarehe 18/12/2013 mjini Nairobi. Ajabu sijaona press release yeyote kutangaza washindi(local winners)...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Man cut off hand at work and searched for a surgeon for 7 hours; The surgeon attached it to his calf where there was a good blood supply;There have been about 20 such successful operations in all...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada ntawezaje ku update status na mwisho ikajieleza sehemu niliko.mfao:joseph mboneko usiku mwema near kigoma tanzania
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaribu setting ya 127.0.0.1 port 6052 lakini bado inagoma ku connect.Help pls!!!!!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii ni kwa ndugu zangu wanaobeba simu nilizozitaja hapo juu na bado wanahangaikia kupata internet kwenye laptop zao kwa modems,ethernet nk bila kujua kuwa simu zao ni VIRTUAL ROUTER Android...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hope mpo poa wadau, naombe msaada wa kupata GAMES kwa ajili ya watoto maana likizo hii wapo home so wanahitaji michezo ya Ndani muda mwingine. Shukrani kwa wote watakao nisaidia. Note: Ni za...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wana jf, naomba msaada jins ya ku connect sim na internet. nina sim yang aina ya samsung GT C3212i inanisumbua kwel ku connect internet. nashindwa kuelewa shida ipo wap, na kitu kingine kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MSAADA wataalam, kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kugundua simu zinazopigwa toka simu nyingine na msg ukawa unazipata na kwenye simu yako kama zilivyo bila ya muhusika kujua…
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Back
Top Bottom