dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,882
- 2,094
1. Jina la AlamaNajua inatumika kwenye Tasnia ya Filamu, ila kwa anayejua tafadhali atutajie
1. Jina la Alama hiyo
2. Kazi yake nini ( hua naona ikibanwa hicho kibao cha juu ndio wanaanza sijui kurekodi....)
Msaada ndugu zangu, kuuliza si ujinga.....