donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salam wakuu, kwa kifupi natafuta a cheap tablet ambayo ni used/mint cond. or hata kama mpya. Iwe ni android os, my budget is less or equal to 300k. Asante!
hahaha ghmz kamix ghz na mhz humo humo.
hahaha ghmz kamix ghz na mhz humo humo.
Samahani chief nna tablet yangu aina ya ainol-movo inakataa kusoma documents kabisa pia nkijaribu kuiwekea windows inakataa, nifanyeje?
ahsante chiefmkuu i think inatumia android na sio windows ili uweze kufungua documents inabidi uwe na software kwa ajili hio.
kuna software hizi
-adobe reader
-quick office
-open document
-office suit
zipo nyingi we just search keyword kama pdf doc ppt zitakuja. search playstore
Ni pm ipo kwa 17000
Ni pm ipo kwa 17000
unauza tablet elfu 17?
Asnte Mkuu umetunufaisha na Wengine sa ni Taplet za aina gani zinaweza kua bora na kwa bei powa na jinsi yakuzipata...!?chief-mkwawa![]()
kaka nimeangalia hizi specs nimecheka sana ngoja nipoint out wizi wizi wa kichina.
1. camera yake in 32 zoom imeipita hadi galaxy camera yenyr 10x zoòm ambayo ndo camera ya simu/android inayozoom zaidi duniani hapa naona nadanganywa kimacho macho.
2. quadcore gpu adreno 203. hii gpu ni ya zamani na I have ni idea kama ni quadcore. atacheza game za kawaida ila high end game asahau
3. eti video recorder ni 480p na camera ya 8mp hapa hamna kitu. kwenye camera ipo ovyo japo si big deal sababu ni tablet
4.processor ya arm cortex 7 si ultra speed ni ya kawaida sana utapata perfomance ya kawaida.
5.tablet kua na internal 4gb na ambayo unaweza tumia ni 2gb itasumbua tu hutaenjoy.
6.kioo 10 inch 1200x800 inakuja ppi 150 hapo nacho ni cha kawaida sana.
7.kwenye sensor hapo imemiss compass so tegemea experience mbaya na vitu kama maps.
8.kwa specs betry ni ya ukwel japo sjui kama ipo kweli ndan hio battery
9. bei ya dola 300 mi siwezi toa kununua tablet ambaye manufacture wake simfahamu.
nakushauri nenda kwenye manufacture wenye majina laki 5 unapata ipad ya zamani au galaxy tab.
na kama ana subira kuna tablet za inch 8 zinarun full window zimeanza kutoka soon zitatapakaa zinapatikana kwa dola 300 pia
Duuh asante sana CHIEF MKWAWA maana hata hii ya 32 Optical Zoom mm nilikuwa siiangalii kabisa
pili 3G+ yake ya kweli kidogo 21Mbps
Pili ningependa kujua hayaa mambo pia ya Andrroid sasa nifungue macho
Mfano napoeenda kununua Laptop huwa naangalia HDD,RAM,CPU Speed na Processor type e.g intel core i7 ai intel inside etc ndo vitu naangaliaga tu.
Sasa turudi upande wa Android ntafurahi sana ukitoa maelezo kwa Upande wa Tablet vitu gani ni vya ku-Observe wakati unanunua hii vitu.
Je battery ya hii TAB umejuaje kuwa itakuwa nzuri kwa kuangalia specs zake emu linganisha na battery la TAB nyingine
NATANGULIZA SHUKRANI
Asnte Mkuu umetunufaisha na Wengine sa ni Taplet za aina gani zinaweza kua bora na kwa bei powa na jinsi yakuzipata...!?