Abadilishe nini sasa mkuu? Naomba toa maelezo vizur mie mwenyewe huwa inatokea.NashukuruJaribu kuweka modemu then fungua setting za hiyo modem ubadilishe
Inakuwa kwenye tray icons (kulia karib na battery icon)
Ni kweli haloo Pokofame. Nimeiona icon ya airtel kwenye tray. Sijapata kuchek hapo mpaka leo ulipoeleza jambo hilo. Kwa hiyo modem iko designed kuweka icon yake kwenye tray tu na sio kwenye task bar?Inakuwa kwenye tray icons (kulia karib na battery icon)
Ni kweli haloo Pokofame. Nimeiona icon ya airtel kwenye tray. Sijapata kuchek hapo mpaka leo ulipoeleza jambo hilo. Kwa hiyo modem iko designed kuweka icon yake kwenye tray tu na sio kwenye task bar?