Msaada wa Website za kudownload pirated PS4 games

worms

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
964
895
Habari ndugu zangu.

Naomba kuuliza website ninazoweza download PS4 games bila shida.

Nilizoea kutumia kickass na piratebay Ila naona hazieleweki kabisa siku hizi.

Naombeni msaada huo Wana JF.
 
Nashukuru mkuu...hiyo debrid ni ya kutumia katika pc tu?
Debrid ni premium link generator, kazi yake ni kucache mafile, kuna mafile unapodownload speed inakua slow sana, ila ukitumia debrid speed inaongezeka. Unatumia kifaa chochote tv, simu, pc etc ilimradi tu kiwe na browser na uwezo wa kudownload.
 
Asante naona ni kama website natakiwa kuwa na account huko.
 
Debrid ni premium link generator, kazi yake ni kucache mafile, kuna mafile unapodownload speed inakua slow sana, ila ukitumia debrid speed inaongezeka. Unatumia kifaa chochote tv, simu, pc etc ilimradi tu kiwe na browser na uwezo wa kudownload.
Ndugu nimepigana naona nimeshindwa,
Naomba kama waweza nirahisishie Kwa kunipa link ya games zifuatazo:-
1) deadlight PS4
2) Assassin's Creed Chronicles China
3)Assassin's Creed Chronicles India
 
Back
Top Bottom