Nowadays hii teknolohia imeingia ila haijaenea sana. kwa wale wadau wa video shooting hasa sherehe za mahatusi n.k wanajua zaidi.
Kupitia uzi huu naomba tupeane hayo maarifa pamoja na kujua...
Wadau nahitaji kunua battery ya laptop kubwa zaidi ya niliyo nayo sasa ambayo ni 6 cells 44000 mAh sasa nimekutana na specification za battery kama nilivyo eleza hapo juu, je kati ya hizo ipi ni...
Wadau kuna ndugu yangu anaenda u.k jumatatu, kaniambia ataniletea simu ntayoipenda ila isizidi 450,000/= (172 pounds or 259 us dollarz), simu nayotaka iwe na camera nzuri (13mp and above)...
Habari wana JF,
Nataka kuweka kitabu kizuri saana hapa hasa kwa vijana wanaopenda siasa naomba nielekezwe namna ya kuweka kila nikienda pale kwenye kitufe cha kuattach naona picha tuu au siona...
Habari za mwaka mpya wanabodi ?
Hapo juzi kati mdogo wangu kanikabidhi simu ya samsung wave 3 s8600 ambayo inatumia Bada OS, Nimejaribu kila namna kuinstall whatsapp na apps zinginezo kama...
Wanabodi hiyo inawezekana?maana sina muda ila kuunga vifurushi vyao vya siku mpaka mwezi Naweza tatizo kwenda. Kuungiwa siku ya kwanza kabla.
Kama Kuna yeyote anayejua atuelekeze hapa
Kwa wale wataalam wa mambo ya smart phone, Naombeni kufahamu simu ipi hapa ni bora zaidi katika kudumu na charge, na ipi ina kamera nzuri?
HUAWEI ASCEND Y 330.
TECNO H5.
Naomba mnieleze maama ya maneno yafuatayo huwa nayaona kwenye specification za simu. (1) kernel version (2) baseband.
Natanguliza wingi wa shukrani mi momi mwanaJF mwenzenu Rodwell mTz.
Simu yangu aina ya samsung galaxy s4 inawaka lakini haifiki mwisho nadhani tatizo ni operating system (startup file limezingua) naomba kuelekezwa jinsi ya ku fix hili tatizo.